Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mkuu nimejaribu kuchoma ndani ya hii tinder naona kama wanataka nilipe 34,000/= per month, ndo iko hivo au nimeenda nyingine.Nakama ndio nalipajelipaje mkuu.Nimedhamiria
Usilipe. Sikushauri ulipe ila ukiona ulipe pia ni hiyari yako ili upate nafasi zaidi ya warembo. Mimi silipi na nakula warembo wa tinder karibu kila siku nikitaka.
 
Raha ya kule unachagua ukitaka under 20 unapata ingawa visumbufu kiaina raha upate kuanzia 35 and above hawa si wasumbufu hata mizinga hawapigi na wanajiheshimu wao shida yao ni moja tu kupigwa machine.
Raha nyingine unapata huduma popote ukisafiri una search people nearby unakamata kitu unatafuna
 
Hiyo ni kweli kabisa
 
Nishawahi kupata msichana badoo nikajua ni wa kupiga tu lakini wee aliniganda huyo na alikua na kazi yake hakuwahi kuniomba pesa tukikutana anakuja na zawadi mara dompo ila sasa mimi nikawa naona inawezekanaje niwe na mahusiano serious na mdada wa badoo tulidumu kama miezi 3 nikapiga chini alilia sana akanilaani mpaka nikashangaa kumbe kalitaka serious relationship kabisa. Alitaka mpaka kuzaa na mimi dah na alinianzaga mwenyewe kunitext akanipa no na akanitongoza mwenyewe, so wanawake wa kule sio wote wanajiuza.
App yenyewe nishaifuta kitambo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…