Hiyo ni kweli kabisa
Kuhusu kuomba gemu ni gia yako na akili yako cha kufanya asikuone muhuni tu unataka umtafune
Wengine wanakubali kabisa kutoa gemu
Wengine wanakuwa wazito ila ukitafuna inakuwa non stop mpaka unamchoka
Wengi wanakuwa serious wanakwambia mkapime kabisa hapo ndo ninapowakubali
Kuna mademu kule hawajiuzi wana kazi nzuri ila wapo sana desperate na mahusiano wanasema siku hizi waoaji hamna [emoji3]wengine wanasema hawatongozwi au wanatongozwa na watu wasioeleweka wanishindwa kukubali kwa hyo hapo ni mbinu zako kumshawishi