Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Sawa hata wakiuripoti, sheria gani inakuwa imevunjwa ya JF?

Au wanauhamishia jukwaa la wakubwa?
Ilo la mwisho ndio jibu. Ndio maana nimesema kausha usiendelee kuongelea huo uzi. Huwezi uona.
 
Mi niliishawai kupelekwa na demu mpaka mbagala ndani ndani huko na demu wa badoo alafu kufika huko kazima simu da nili maindi nikafuta na app yenyewe nimechoma mafuta yangu bure na mark x inavyokunywa wese
Wewe dume halafu unaweka avatar ya mrembo, una maanisha nini? Una tofauti gani na hao wa huko Badoo wanaoibia pesa wanaume kila kukicha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…