Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Dah, umetisha sana bro
mkuu huu mtandao una cheap and quick hookers..kila mkoa kila sehem...zamana nilikuwa nikisafiri tu nabadilisha location naita ikiniambia niikope aua ikiomba hela namwambia jioni ukija ila kwa sasa nataka kula niagize chakula nikuletee nawew..akiagiza tunafanya kuonana..inshort nikiji present enzi zangu kabla sijaoa i am [emoji817] demu hachomoki..wadada wengi confidence ukiwa nayo mrefu sura nzuri nzuri kimtindo yani shobo sana..basi akiniona live jion lazma aje hotelini...kikazi nilikuwa nafikia hoteli nzuri nzuri mikoani basi dah..leo nachapa uyu kesho nachapa uyu mimi tu na mood ikikaa fresh..afu wengine hata hela alioomba anasahau kwa treat atayopokea..

sikuizi basi tu ni kuheshimu ndoa..kuna siku nilisafir nikaingia mule chap nikapata namba nikaiita ikaja..ikasema itarud jion ikaja sa nne usiku..tukakaa tukala tukachek movi tukalala sikula mzigo kabisa..yule manzi hakuamini..binafsi nilikuwa natest mitambo kuona kama bado nina makali nk.

inshort demu unampata leo unamaliza leo..dar ndo badoo wamejaa malaya kwel kwel...kuna mmoja uyo ndo nilipata kwenye shortest range..saa nne kanipa namba nilikuwa harusi ya msela tushapiga tungi..na code ilikuwa haisomeki nilikuwa na hati hati ya kulala mwenyew siwez nikinywa kiasi..basi nikaingia nikakuta moja lipo online nikaliomba namba nilitakie usiku mwema tuu..akanipam.nikampigia upo wapi magomeni nikamwambia ntapita kukuaga poa..saa sita napita nalichek akanielekeza nimsubir stand..nikasema leo nikikabwa ndo leo nikashusha vioo namsubir..after 30mins kaja ananukia kavaa hijab nikamwambia ingia unisindikize home...bass ..

yani mule ilifika kipindi naoa nilifuta message karibia 200naa zilizosheheni manamba ya wanawake ase...

nimeto.mba zsid ya madem 50 ila sikuwaiiii hata sikuuu mojaa sijawai kuuza mechi...unachapa zingine unasema hii ina moto..kwa kuangalia tu[emoji23]ila imenona na baharia huna option..una vaa zako ndomu...pampu zako kadhaa unamaliza unaipa hela ata ya boda isilale hukawii amkia usiku imekukalia vibaya ukainyuka kavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Sibishi wala sikubali...

Badoo ni dating site.Kila alie kula yuko na requirements zake.Nimekua tinder,hi5 na badoo...

Inategemea unachagua watu wa umri gani.Lakini pia inategemea na unavowaanza.Hakika ukitafuta malaya utawapata mpaka utawachoka.Wapo wanawake wa kila aina ni wewe tu.

Nimepata wanawake watatu wanaojielewa.Mmoja ni single mother ni muhasibu anafanya kazi mbeya.Nilipoanza kumzoea akaniambia sijiuzi wala sitafuti bwana na sina shida ya pesa.Niko mpweke tu natafuta marafiki.Tukawa washikaji kwa kipindi na sasa ni mshauri wake/mshauri wangu na ni mshikaji sana.Japo tunashiriki mapenzi sometimes.Najua utauliza kuhusu afya.Tuko sawa.Account alidelete baada ya kunipata mimi kwa hiyar yake.

Wa pili ni binti wa kishua flani ila anafanya biashara ya bidhaa za online.Yuko tinder lakin nyodo nyingi na nini.Nimeenda taratibu tumeelewana na sasa ni dem permanent.Pesa haikua ni tatizo kwake.Tatizo ni mapenz ya kuzidi na wivu.Kila saa video calls.Ila tunakwenda sawa.

Wa tatu ni mzungu.Tunachart sana ila bado hatujaonana lakin kila tukipanga ratiba yangu inakua tight.Nadhan jumapili nitaonana nae nitawapa mrejesho tumefikia wapi.

Wanawake wape na wengine wanaweza wakaanza kukutongoza.Ni wewe tu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe account yako ya badoo wewe si usha quit haya mambo? Rudisha kadi
Hata madaktari wanashauri ukitaka kuacha kitu usiache mara moja (ghafla) badala yake anza kidogo kidogo - Mimi ndio kwanza nimeanza kuacha.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Hata madaktari wanashauri ukitaka kuacha kitu usiache mara moja (ghafla) badala yake anza kidogo kidogo - Mimi ndio kwanza nimeanza kuacha.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Mi nilishakuambia wewe veteran hutoki. Izo ni mbwembwe za tar 01 January. Mwaka wa changes.

Mzee mimi na like picha ila wapi. Sipati vizuri. Ebu nipe ABC.
 
Mi nilishakuambia wewe veteran hutoki. Izo ni mbwembwe za tar 01 January. Mwaka wa changes.

Mzee mimi na like picha ila wapi. Sipati vizuri. Ebu nipe ABC.
Chief mi ni Legendary [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Chief mi ni Legendary [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Ebu ni PM pisi portable z kesho jumapili. Na mobile zao
 
Leo nimeona bora nijitoe kwenye badoo na pia nimefuta kabisa app yao, nataka niwe mtu mwema sahv
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app

Nimecheka sana hii Post
 
Wakuu kuna App moja niliinstall jana nikapata demu akasema leo nimfuate Mbagala

Sasa nimeisahau jina. Sio Badoo wala sio Tinder. Kama kuna mtu anaijua App famous nyingine hapa TZ nikitajiwa jina naikumbuka
 
Wakuu kuna App moja niliinstall jana nikapata demu akasema leo nimfuate Mbagala

Sasa nimeisahau jina. Sio Badoo wala sio Tinder. Kama kuna mtu anaijua App famous nyingine hapa TZ nikitajiwa jina naikumbuka
[emoji23][emoji23]una mbinu kali sana kijana. Unataka uongeze list ya app.
Kuna moja inaitwa Hitwe, itafute hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom