Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Dah, umetisha sana bro
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sibishi wala sikubali...

Badoo ni dating site.Kila alie kula yuko na requirements zake.Nimekua tinder,hi5 na badoo...

Inategemea unachagua watu wa umri gani.Lakini pia inategemea na unavowaanza.Hakika ukitafuta malaya utawapata mpaka utawachoka.Wapo wanawake wa kila aina ni wewe tu.

Nimepata wanawake watatu wanaojielewa.Mmoja ni single mother ni muhasibu anafanya kazi mbeya.Nilipoanza kumzoea akaniambia sijiuzi wala sitafuti bwana na sina shida ya pesa.Niko mpweke tu natafuta marafiki.Tukawa washikaji kwa kipindi na sasa ni mshauri wake/mshauri wangu na ni mshikaji sana.Japo tunashiriki mapenzi sometimes.Najua utauliza kuhusu afya.Tuko sawa.Account alidelete baada ya kunipata mimi kwa hiyar yake.

Wa pili ni binti wa kishua flani ila anafanya biashara ya bidhaa za online.Yuko tinder lakin nyodo nyingi na nini.Nimeenda taratibu tumeelewana na sasa ni dem permanent.Pesa haikua ni tatizo kwake.Tatizo ni mapenz ya kuzidi na wivu.Kila saa video calls.Ila tunakwenda sawa.

Wa tatu ni mzungu.Tunachart sana ila bado hatujaonana lakin kila tukipanga ratiba yangu inakua tight.Nadhan jumapili nitaonana nae nitawapa mrejesho tumefikia wapi.

Wanawake wape na wengine wanaweza wakaanza kukutongoza.Ni wewe tu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe account yako ya badoo wewe si usha quit haya mambo? Rudisha kadi
Hata madaktari wanashauri ukitaka kuacha kitu usiache mara moja (ghafla) badala yake anza kidogo kidogo - Mimi ndio kwanza nimeanza kuacha.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Mi nilishakuambia wewe veteran hutoki. Izo ni mbwembwe za tar 01 January. Mwaka wa changes.

Mzee mimi na like picha ila wapi. Sipati vizuri. Ebu nipe ABC.
 
Mi nilishakuambia wewe veteran hutoki. Izo ni mbwembwe za tar 01 January. Mwaka wa changes.

Mzee mimi na like picha ila wapi. Sipati vizuri. Ebu nipe ABC.
Chief mi ni Legendary [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Ebu ni PM pisi portable z kesho jumapili. Na mobile zao
 
Leo nimeona bora nijitoe kwenye badoo na pia nimefuta kabisa app yao, nataka niwe mtu mwema sahv
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app

Nimecheka sana hii Post
 
Wakuu kuna App moja niliinstall jana nikapata demu akasema leo nimfuate Mbagala

Sasa nimeisahau jina. Sio Badoo wala sio Tinder. Kama kuna mtu anaijua App famous nyingine hapa TZ nikitajiwa jina naikumbuka
 
Wakuu kuna App moja niliinstall jana nikapata demu akasema leo nimfuate Mbagala

Sasa nimeisahau jina. Sio Badoo wala sio Tinder. Kama kuna mtu anaijua App famous nyingine hapa TZ nikitajiwa jina naikumbuka
[emoji23][emoji23]una mbinu kali sana kijana. Unataka uongeze list ya app.
Kuna moja inaitwa Hitwe, itafute hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…