Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Ndio wajua leo watu tuna premium membership tunapewa mpaka offer za coin [emoji6][emoji6][emoji6] kila mdada unaye muona huko anajiuza kama wabisha, jaribu na jifanye upo siriaz kuna mashoga kibao, wasagaji, ukiomba no.tu unatumiwa ni dau lako....
Hizo premium unalipaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba namba ya Asia miuno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu tupeane bei elekezi za telegram maana DC wa Temeke kapiga mkwara kuhusu madanguro sasa tusijedakwa huku Sudan
Bado unaenda tu kwa haya madanguro na ushaskia kuna badoo na telegram unawapata kirahisi tu ngoja Siku utakapokuja kuonekana na watu wanakufahamu hapo kitaa unaelekea huko sjui utaficha wap sura yako


Kuna dogo baada ya kuskia uwanja wa fisi wanafanyiwa kiini macho unatafuna papuchi badala ya fisi badala ya mtu amegoma kwenda

Jamaa angu mwengine alishawah kamatwa na Malaya kule ndani kwenye vyumba vyao hio ilikuwa ni kahumba ulitokea msako ghafla wa polisi hakuwa na ela ya kuwapa palepale akaswekwa kwenye defender na wahun wengine pamoja na ile midada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba link
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kuna ile polisi wanakudaka alaf wanakupiga picha na bango lenye full info 😂 😂
Na mimi kitaani naonekana bonge la kondoo daah
Sema wa mitandaoni nao hizo bei zao bora nibaki Chaputa
 

Mkuu ina maana huko huko badoo kuna vitanda?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…