DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
MkuuSibishi wala sikubali...
Badoo ni dating site.Kila alie kula yuko na requirements zake.Nimekua tinder,hi5 na badoo...
Inategemea unachagua watu wa umri gani.Lakini pia inategemea na unavowaanza.Hakika ukitafuta malaya utawapata mpaka utawachoka.Wapo wanawake wa kila aina ni wewe tu.
Nimepata wanawake watatu wanaojielewa.Mmoja ni single mother ni muhasibu anafanya kazi mbeya.Nilipoanza kumzoea akaniambia sijiuzi wala sitafuti bwana na sina shida ya pesa.Niko mpweke tu natafuta marafiki.Tukawa washikaji kwa kipindi na sasa ni mshauri wake/mshauri wangu na ni mshikaji sana.Japo tunashiriki mapenzi sometimes.Najua utauliza kuhusu afya.Tuko sawa.Account alidelete baada ya kunipata mimi kwa hiyar yake.
Wa pili ni binti wa kishua flani ila anafanya biashara ya bidhaa za online.Yuko tinder lakin nyodo nyingi na nini.Nimeenda taratibu tumeelewana na sasa ni dem permanent.Pesa haikua ni tatizo kwake.Tatizo ni mapenz ya kuzidi na wivu.Kila saa video calls.Ila tunakwenda sawa.
Wa tatu ni mzungu.Tunachart sana ila bado hatujaonana lakin kila tukipanga ratiba yangu inakua tight.Nadhan jumapili nitaonana nae nitawapa mrejesho tumefikia wapi.
Wanawake wape na wengine wanaweza wakaanza kukutongoza.Ni wewe tu sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
nipe mbinu ya ku date na mwanamke hasiyekuwa na uhitaji wa pesa ya mwanaume.