Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Sibishi wala sikubali...

Badoo ni dating site.Kila alie kula yuko na requirements zake.Nimekua tinder,hi5 na badoo...

Inategemea unachagua watu wa umri gani.Lakini pia inategemea na unavowaanza.Hakika ukitafuta malaya utawapata mpaka utawachoka.Wapo wanawake wa kila aina ni wewe tu.

Nimepata wanawake watatu wanaojielewa.Mmoja ni single mother ni muhasibu anafanya kazi mbeya.Nilipoanza kumzoea akaniambia sijiuzi wala sitafuti bwana na sina shida ya pesa.Niko mpweke tu natafuta marafiki.Tukawa washikaji kwa kipindi na sasa ni mshauri wake/mshauri wangu na ni mshikaji sana.Japo tunashiriki mapenzi sometimes.Najua utauliza kuhusu afya.Tuko sawa.Account alidelete baada ya kunipata mimi kwa hiyar yake.

Wa pili ni binti wa kishua flani ila anafanya biashara ya bidhaa za online.Yuko tinder lakin nyodo nyingi na nini.Nimeenda taratibu tumeelewana na sasa ni dem permanent.Pesa haikua ni tatizo kwake.Tatizo ni mapenz ya kuzidi na wivu.Kila saa video calls.Ila tunakwenda sawa.

Wa tatu ni mzungu.Tunachart sana ila bado hatujaonana lakin kila tukipanga ratiba yangu inakua tight.Nadhan jumapili nitaonana nae nitawapa mrejesho tumefikia wapi.

Wanawake wape na wengine wanaweza wakaanza kukutongoza.Ni wewe tu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu
nipe mbinu ya ku date na mwanamke hasiyekuwa na uhitaji wa pesa ya mwanaume.
 
Wakuu kuna App moja niliinstall jana nikapata demu akasema leo nimfuate Mbagala

Sasa nimeisahau jina. Sio Badoo wala sio Tinder. Kama kuna mtu anaijua App famous nyingine hapa TZ nikitajiwa jina naikumbuka
0652917497111
 
Serious question, hivi vibinti ni kawaida sana badoo. Wale wamama wa age 45 years kuendelea hua inakuaje huko? Wako badoo kwa malengo yapi hasa 🤔
 
Hata sijui nawaonaga tu mid 30s hadi late 30s ndo wengi 40 niwachache ila wengi wanadanganya umri ukimuona wa 25 ujue huyo 30


Ila ukwel wengi wanatafuta faraja ndo maana wanaandika pale chini ya profile lao for serious

Wanatafuta relationship

Ila 80% ya wadada ni commercial sex workers
Serious question, hivi vibinti ni kawaida sana badoo. Wale wamama wa age 45 years kuendelea hua inakuaje huko? Wako badoo kwa malengo yapi hasa [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko hata wake za watu wapo wamejaa tuu.Kiufupi wengine wapo kutuchota akili midume na wapo pia matapeli wa kiume (tuma nauli,mama mgonjwa,naenda kijijini kwanza,simu yangu mbovu n.k).Nilipata moja sharti eti halitaki kuliwa na ndomu LAZIMA tukapime maambukizi.(Hahaha! Tulipima nilijipigia kama mara kadhaa,,,,ila naona kama linataka kunimiliki/control mara nitoke Badoo au nifute akaunti eti)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mabaria inakuwaje mfano umemuona mtoto badoo umemuomba namb mkayajenga ukamnunua mtoto badoo au kokote kule baada ya kumaliza kufanya yako unampa chake unasepa


Mara kesho au baada ya siku mbili anaanza kukutafuta kukusalimia tu text za kawaida kama mshafahamiana vile sio siku moja yaan mwendelezo hivi kwa nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wateja wamepungua sana, mimi kuna mmoja alinianza mwenyewe bado tukapanga nikala tukaachana baada ya hapo kila mara ananitafuta eti kunisalimia na siku nyingine ananiambia nikiwa na chochote nimwambie tu hana shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa badoo ivo ivo.... nikafanye yangu
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana basi na wengi wameshakata tamaa ya mahusiano yanayo eleweka
Wateja wamepungua sana, mimi kuna mmoja alinianza mwenyewe bado tukapanga nikala tukaachana baada ya hapo kila mara ananitafuta eti kunisalimia na siku nyingine ananiambia nikiwa na chochote nimwambie tu hana shida

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom