Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Ndo kusema mabaharia saizi mmeacha kula watoto badoo, Hi5, tinder na kwingine au ndo mnakula kimya kimya ? Naona hatupeani connection tena.

Tupo busy na kujikinga na Corona...mechi zitaendelea baada ya hili janga kuisha
 
bila link huu uzi ni upupu🙁
 
Umekuja kutangaza biashara huku?? Lipia tamgazo please managemnet huyu jamaa alipie
 
Chief huyu sio bi sexual kama unavyojua wewe, palr kwenye ku select sexual orientation huwa hakuna kipengele wanachotaka, so huwa wanatumia hicho kama wanaliwa kote kote !

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…