Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Daaaa mwanangu yaani nimejikuta naangua kicheko balaa. Kwa kweli ulijuta, na bila shaka huwezi kurudia tena. Haaa haaa haaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hiyo ni Code.
 
Kumbe hiyo ni Code.
 
Haha! Kwamba ukapewa na Bonus kabisa. Basi ulimfikisha ambako alikuwa hajafika.
 
Baada ya kuusoma huu uzi nilishawishika kuexplore baadhi ya mitandao na kujionea kama yaliyoandikwa humu ndani yana uhalisia au la.

Sehemu ambayo niliweka makazi ya kudumu ni Hi5. Huko nimeweza kuchat na watu wa aina mbalimbali. Wapo ambao ukimtext tu anadeclare huduma zake na Bei zake. Wapo ambao hawatajionesha kuwa wako kazini, Ila namna unavyomchimba utajua tu. Na wapo ambao utaona anakuomba hela au kukutajia sababu fulani Fulani kwa lengo la kuomba msaada kwako ( Hawa ni wafanya biashara pia) na wapo ambao wapo kwa ajili tu ya kupata faraja au kampani.

Nimefanikiwa kuomba namba kwa wengi sana na kupewa. Ukiwa mwepesi wa kukubali kila unachoambiwa ni rahisi sana kupigwa. Kwani wengi huweka picha ambazo si za kwao, kwa lengo la kuvuta attention yako. Mfano unamuomba mtu akutumie picha unaona amekutumia picha mbili ambazo ukiziangalia kwa umakini unaona zipo croped ( unajua kabisa Kuna sehemu kaScreenshot). Asilimia kubwa za picha utakazotumiwa ni zile zinazoonesha watu wenye shape kubwa kubwa, lengo ni kutaka tu kukuvuta. Wapo ambao atakutumia picha ambazo ukiziangalia kwa makini utaona Zina watu wanaotofautiana. Wengine watakutumia picha za mtu yuko mbali.

All in all, umakini unahitajika kudeal na hawa viumbe mtandaoni.
 
Utakuwa ushampiga sally ww maana anapenda sna hi5

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndio hivyo mkuu wee cha msingi ndalama tuu utakula papuchi badoo mpaka basi. Mie kuna siku biko ilitiki dah niliwapanga watatu
 
Wakuu na hii ya dem kukufata mwenyewe pm ya badoo mnaichukuliaje?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Ungeendelea kuishi hapohapo kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba una ujasiri wa ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Insta hivyo, ukiona anapost sana maungo yake tu, jua yuko sokoni mwenzako.

Ukimsifia tu anaku dm naomba 30,000.

Nadhani 30,000 ni kiwango elekezi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka link

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…