Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nakukumbusha tu:huyo ni dume lenye u*oo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah nimecheka mbavu zinauma, eti lenye nn? tena beberu kabisaaaaaaah. Hahahahah
 
Mbna kule ti der wananiletea mambo ya ajabu eti natakiwa nilipie
 
Uwe unanitag kuhusu habari za Bakongo. Mwisrael anaiba nini?
Hahahaha, Mkuu mm sio mjuzi wa kuandika Thread ,hivyo siwezi ila kuchangia naweza ( anzishe tutachangia )

We Goole Dany Gerltel then soma ,utatuhadithia

FYI : Amis Kumba a.k a Tango four amekua Mkuu wa jeshi

Assignment : wa Google hao watu wawili kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…