Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Ahsante sana ngoja nikafanye ufuskaNenda Tinder, tinder kuna watoto wazuri na kuna very strict policies kule tinder.
Wanafunzi wa vyuo, watoto wa geti kali, malaya wa high class wengi utawakuta tinder.
Badoo- machangu, mashoga na kila aina ya uchafu. Kuna malaya hata elfu 5 unakula mbunye. Huku parody accounts za wanaume kuweka picha za wadada na kuomba hela ya nauli ni vitu vya kawaida. Mnaanza kuchat dakika 2 anasema hajanywa chai, hajala, utasikia tu my naomba tigo pesa ya 5k sijanywa chai nikishakunywa nakuja au sijala au umeme imeisha kumbe uongo mkubwa unakuta ni dume.
Machangu wengi badoo ni matapeli na wengi ni wamaume wameweka picha za kike. Ni maafuru wa kuomba nauli aje, ukituma imekula kwako unakula block.
Kama umepata dem badoo na mitandao mingine usitume nauli, mwambie achukue bodaboda utalipa, wengi ukisema hivyo anakutukana na kukublock.
Meet me- haina tofauti na badoo.
Hitwe- machangu waliokubuhu. Ma mama ya umri mkubwa. Hawa kuna hadi wa bia 2.
Eskimi- machangu yaliyobobea, Mashoga. Hawa wengi ni majimama ya uswahilini
Tantan- single mamas. Yaani huu mtandao umejaa single mamas wa miaka ya 20 hadi 30.
Lovoo, tagged na mitandao mingine ni machangu watupu.
Binafsi nakula watoto wazuri kutoka tinder. Tinder ukileta ishu za badoo unakula ban ya maisha.
Tinder huwezi kufungua parody account ukaripotiwa unapata ban ya maisha. Email yako wala namba yako ya simu haitakaa ifungue akaunti tinder kwa sababu ili ufungue account lazima utumie hizo details.
Nalog off