Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Hipo na tena sikuhizi ndo soko lipo huko mimi nikikutaga demu naingia inbox namtajia bei tuuh mwenyew anakupa namba, mnamaliza shughurhiyo badoo bado ipo? maana huu uzi ni wa 2016. kama bado ipo vp imeendelea kubaki na matumizi makubwa hayo hayo yaliyosemwa na mtoa mada au kuna utofauti?
anhaaHipo na tena sikuhizi ndo soko lipo huko mimi nikikutaga demu naingia inbox namtajia bei tuuh mwenyew anakupa namba, mnamaliza shughur
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ipo mkuu na mambo ni hayohayo tuhiyo badoo bado ipo? maana huu uzi ni wa 2016. kama bado ipo vp imeendelea kubaki na matumizi makubwa hayo hayo yaliyosemwa na mtoa mada au kuna utofauti?
Links ziko wapi boss?Mwana muanzisha uzi kakimbia uzi wake bwabwa huyu!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Unepotea njia mkuu. Soma post za juu wameelezea vizuri.Hv Badoo ndo tattoo
Utandawazi mioyo ya watu imebadilika. Aibu hakuna na siku hizi kila kitu kinapatikana kwa urahisi...Ngono imekua rahisi kweli siku hizi....
Kutojiamini tu.Kuna watu wanastahili viboko tena vingi tuu, mtaani unaacha warembo unaowaona physically unaenda huko kwenye midosho ya Badoo alafu unategemea upate mume/mke mwema.
Hili nalo neno akina kisoda😂😂Badoo haiwezi kuipiku Telegram,kule mademu kama bidhaa. ila usiwaite malaya waite warembo