Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Katika site za aina yake ni Badoo

Ni Badoo peke yake ambapo hakuna anayeonekana mbaya bali kila msichana mule anaonekana beautiful onyinye wanajiedit sana.

Badoo ukimtongoza mwanamke kitu cha kwanza lazima akuombe pesa hata ukishafahamiana naye atakua anakuchuna tu

Badoo wanawake na wanaume hujiuza humo; usijiroge ukatafuta mchumba Badoo utakua ume-wrong namba.

Ni Badoo pekee ambapo msela ukiweka picha smart au ukiwa na muonekano wa ki-handsome au ukiwa kifua wazi basi jiandae kutongozwa na mashoga. Badoo ni centre ya mashoga na wadangaji ambao hujiuza humo.

Vituko vya Badoo ni vingi sana aisee unakuta demu anaweza kuja kwako asubuhi saa 2 akaondoka akawa na appointment na mtu mwingine saa 4. Baadae tena akaenda kwa mwingine yaani ndo michezo yao wanazunguka balaa; kwa siku anaweza kuzunguka hata kwa watu watano.

Badoo ni centre ya wadangaji na mashoga ukiwa huko kama ni gentleman ujiandae kisaikolojia imekua kero kama kina dada wanavyopata shida kule Messenger FB wakisumbuliwa na Wahindi unlimited na Badoo magenlemen usumbufu wa makaka poa sio vizuri kabisa mimi hadi nimeamua kujitoa kule kabisa.

Hii ndo Badoo mtandao ambao ukimuona mkeo, mmeo, au mpenzi wako kajiunga huko ujue unaibiwa mchana kweupe maana kule ni kutongozana tu.
Duh umefumbua masikio
 
Daah!!!! Kumbe UKIMWI hauna Kasi kabisa kwahiyo kwa siku ni Watanzania 3 tu wanapata ngoma🏌️🏌️🏌️
Takwimu zinasema kila lisaa limoja watanzania 8 umri miaka 18-24 wanaambukizwa Ukimwi.
 
Uzi bila kapicha haunogi.
Screenshot_20201123-190443.jpg

[emoji115][emoji115][emoji115]
 
Back
Top Bottom