Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwenzao huyu!!
Screenshot_20201128-190900.jpg
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo, yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu, wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana, nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana, yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Wadada wa Dar si unawajuwa. Hawapendi kazi ila kudanga kwao ndiyo starehe.
 
Kisoda kitund hakifungi vzr.
Sio hawa wengine kina
Sweet momo
Kisoda
Aisha
Miedemma
Katoto katundu
Doreen Maonock
Na timu nzima ya uaminifu!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Anapenda Sana pesa. Mara kadhaa nimemkwepa kukutana nae. Simu na msg kila siku ananitumia tukutane Lodge. Kuna mwamba aliniambia afya no tete, ndo sababu ya kumkwepa. Ila n mwepesi sana
Nasikia high voltage huyo ni kweli?
 
Back
Top Bottom