Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kusema ukweli kwenye huu mtandao pia wapo mademu wanaojielewa mm nimeopoa mmoja tuna mpango wa kussetle,tena yy mwenzang kaamua kufuta app yenyewe...she is ready for relationship na ni manzi mkali pini balaa...ila mwenyw hd sijiamini km kweli huyu duu kanikubali kiac hiki, nilichopanga kumuomba ni tuongozane nae kwanza tukapime then ndio mambo mbgn yaendelee[emoji122][emoji41]
 
Umempata Kwenye Mtandao Gani Mkuu?
 
Ushanasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dodo kwenye muarobaini... Badoo mi 5 tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii comment yako ibaki kama reference, kuna siku utarudi kuomba ushauri hapa. Kumbuka, "kunguru hafugiki"
 
Inshaaallah na ikawe kheri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Badoo na Tinder mnazionea sana. Huko Telegram hata kama ulikuwa huna mpango wa kupiga mashine usithubutu kuingia ni motoooo. Sina links nimejitoa tayari huko..
 

Mpaka leo hujala mzigo?
 
Mwingine nilimpata she was very recently, mpole hakuwa malaya alafu anakazi tabora na mmi dsm nakazi nikamkopa 200,000 akanipa bhasi tukaachana alinisaidia kweli najutia kweli any way
 
Fazaaa, Fazaa, Fazaaaa!

Nimekuita mara tatu, sikutishi ila kuwa Makini mnoo kuliko Umakini wenyewe.
 
Kwa maana nyingine akijibu huyo ndo kanasa hahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…