Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kwamba unabisha huwa hawalilii ukuni?
Nitakupelekea uthibitisho kunako ujumbe fiche.
Gay gan anayelilia ukuni kijinga hivyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka huo uthibitisho hapa lol.
 
Wapo,
Tunakumbana kila siku.
Ipo siku uvumilivu utanishinda, akitakacho mtu mpe.

Shetani akiniingia nitaanza kufukua chemba zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo, yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu, wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile. Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana, nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana, yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Goli moja elfu 30, Ina tv au
 
Back
Top Bottom