Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mkuu k ni k tu.hata iwe na muarabu au mreno.mwisho wa siku mwanaume utaishia kupiga bao tu
Mkuu sikuping japo nataka nikweleze hivi, ndio kila k utapg bao, lakin kuna tofaut ya experience ya kupig bao kwa pisi mbovu na kupiga bao kwa pisi kali.
Ukienda na pisi kali utaenjoy bao pamoja na feeling ya kwamb nawe umo Kati ya wanaomilk madem
Lakin Dem mbovu simply utaenjoy sex.


NB Kunatofaut kubwa ya kushba Kati ya aliyekula makande
Na aliyekula chipsi kuku

I couldn't say any better nashukuru Kama mtakuwa mmenielewa
 
skuizi natumia bumble. iko vizuri sana hakuna wauzaji kama badoo na tinder

wanaopenda mishangazi corporate huko ndo mahala pake ..bebez ni quality mno
 
Huyo sio msemaji wao, Bali ni mmoja wao. Nashangaa humu JF watu wanachatig nae as if ni Dem, huyo ni gay [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani gay ana shida gani? Muache mwenzako kutetea sio dhambi, kama hutaki umba dunia yako ukakae huko
 
Hata mm nashangaa, tupo ulimwenguni wacha watu waishi maisha yao ili mradi hamkeri mtu. Unakuta hitu linaropoka mfukoni halina hata mia sasa ndio nini, badala ya kupambana lipate kipato limekalia kuzungumaza mambo ya watu, sijui anachimbachimba ili na yeye ajue namna ya kudonolewa kizenji
 
Wasichana wengi waliomp badoo ni washamba na wachafu
 
Well said!
Niliwahi kufanya pilot study humo nikajikuta nimekula mhanga chap...please usijaribu kama haupo serious...shetani yupo
 
Huo mtandao wana data wanakusanya kutoka kwa individuals mbali na kuwakutanisha watu, ipo siku wakifikia malengo yao watu watabaki uchi hadharani maana yanayoendelea huko siyo madogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…