Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mara nyingi hawa weki pic zao asili
 
Utathibitishaje kuwa hizi ni picha zake halisi? Yawezekana katumia picha za marehemu fulani!
 
Ni pm namba ya mmoja wapo mkuu,nami nifanye yangu[emoji28]
 
Mkuu,embu nielekeze jinsi ya kutumia huu mtandao,,maana naambiwa nilipie ndipo nitume text,,au niweke picha zang halisi..tupeane shule mkuu..tafadhar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…