Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Huyu amebadili jina, alikuwa anajiita Salma, amekula 15000 yangu huyu, dadeki na ukimpigia simu ana sauti kavu sana, I think ni ganja alone[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
41824246b0f9c834c6d181e8b3ed9d15.jpg
Halagu hii picha wanaitumia wengi sana sio mwenyewe huyo dawa yake mwambie nataka kukupigia video call
 
d54dd4058ea69a6e7daace1a120f2f4c.jpg
8692698203326061ad279d2068f3257f.jpg
7f469265aa92a202434e8fe0a74fc08e.jpg

Huyu ni tapeli Mkubwa katika mitandao Ya kijamii hasa hasa badoo nadhani tushauriane kumkamata huyu mtu.maana ni Shida kashawatapeli watu wengi sana.nikiwemo Mimi nilimutumia elfu 10 .kwa Mashati aje tuonane Lkn mwisho wa Siku Ukawa ni maumivu .nimekusudia kuchafua Ktk mitandao yoote ikiwemo .nataka kuprint Picha zake kwa wingi halafu nizisambaze Posta yoote Na. Viunga yake has a Zanzibar Maana amekalia ni mkazi wa huko visiwani.bila uisahau kariakoo.na MAGOMENI.km bujeti Yangu itatosha nafika mpk Arusha Na. Pia kutangaza ktk gazeti la udaku japo moja natummpia tangazo huko.
Mara nyingi hawa weki pic zao asili
 
Utathibitishaje kuwa hizi ni picha zake halisi? Yawezekana katumia picha za marehemu fulani!
 
Honestly Badoo nimewatafuna mademu wawili, japo nilishaonana na mademu zaidi ya kumi wa badoo ila nmebahatika kuwakaza wawili tu! Mademu wa badoo wanapenda sana pesa na maisha ya juu wengne watakuuliza unaishi wapi ili wajue kama unachunika wakuchune haswa! Hao wawili niliowatafuna sikutumia hata pesa ni maneno tu hao wengne walikuwa wanataka pesa ndefu, ila ni mademu wakali sana tu mpk leo namba zao ninazo naangaliaga tu Dp zao nauchuna! Currently niko bize but nikiwa free tena ntawatafuna kama kawa...
Usipokuwa Makini Badoo, utaishia kutoa msaada wa pesa na Papuchi hauli, ubahili wangu unanisaidia sana.!
Ni pm namba ya mmoja wapo mkuu,nami nifanye yangu[emoji28]
 
KABLA kusema jambo ningependa KUTOA pole kwa wana Jf mlio tapeliwa Badoo au kuzinguliwa Badoo.

Mimi ni mtumiaji mzuli sana wa mtandao wa Badoo takribani miaka minne hivi,

ukweli ni kwamba ndani ya Badoo kuna ma group aina tatu za watu

1.matapeli wa mapenzi.

2.wanawake wanaojiuza

3.wanawake wa kawaida.

Mimi tangu. Nianze kuutumia huu mtandao nimetafuna mademu wengi sana wanaojiuza NA wasiojiuzaa.

1.mademu wasiojiuza ni wengi tuu na wako poa unatongoza Leo na kesho unakula mzigo tena hutoi hata senti tano ,

2.kuna mademu wanaojiuza hawa mademu na nimenunua sana papuchi ila ukweli ni kwamba show zao mbovu unampa demu mzigo kama 40 au 50 unapiga viwili au vitatu show zao kitandani hamna kitu.

Wakati ukienda zako pande za kimboka,sewa, kisuma au fence corner demu unampa 10 au 20 show yake sio mchezo mpaka unaridhika sio Badoo wanataka ukojoe fasta usepe zako fastaa
Na yeye ajisepeshe kwa maana ana order za wateja wengi.

3.matapeli. Wa mapenzi Badoo ni kweli wapo lakini jinsi ya kudeal nao usijaribu kutuma pesa bila kuonana nao ,. .....
Mkuu,embu nielekeze jinsi ya kutumia huu mtandao,,maana naambiwa nilipie ndipo nitume text,,au niweke picha zang halisi..tupeane shule mkuu..tafadhar
 
Back
Top Bottom