Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
cb70ea52e299db462b75f115812198da.jpg

Hii App ya badoo kila kitu ni hela. Kulike mtu hela, kulove mtu hela, kujua aliyekulike na kukulove hela. Bado tena upigwe hela na demu. Ngoja ni-uninstall.
Mkuu badoo ni hatari. Yenyewe inataka hela waliomo humo pia watafutaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetoka kumgegeda mmoja hapa, nimepigwa kama elf 40 hivi ukijumlisha na nauli pamoja na Guest jumla elf 60
Duh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] pole sana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Hahahaha aisee nyie ni noma sana badoo nishapataga mmoja tu kitambo hicho tukadate kama 2month nikaona hapana kwa kweli.

Sent From Heaven
 
Wazee wa badooo oyeeee, last week jamaaa angu kakazingua kajama flani ka kiarabu kiutani kuwa anataka kusukuma tope, kaarabu si kakatokea kweli, kanataka kuliwa wewe humpi hela yy ndiye anakupa , asehhh tukajua utani si kakatokea kweli jamaa achaa asepeee[emoji23][emoji23][emoji23]

Now badoo mashoga nayo yamejaa humo

Pia kunamtandao fulani sema nimeusahau jina wenyewe hauna app, uko ndio wabongo mashoga wanajiuza balaa.

driller⛏⚒
 
Duh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] pole sana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
Pole ya nini sasa, aliniambia nimtumie nauli ya Boda boda... Nikamwambia panda ukifika ntalipia..na akafanya hivyo...nikamlipa boda boda akasepa zake...ye mwenyewe akadai elf 40...nikamjibu hamna tatizo...nikachukua chumba nikamgegeda...akasepa zake
 
Wazee wa badooo oyeeee, last week jamaaa angu kakazingua kajama flani ka kiarabu kiutani kuwa anataka kusukuma tope, kaarabu si kakatokea kweli, kanataka kuliwa wewe humpi hela yy ndiye anakupa , asehhh tukajua utani si kakatokea kweli jamaa achaa asepeee[emoji23][emoji23][emoji23]

Now badoo mashoga nayo yamejaa humo

Pia kunamtandao fulani sema nimeusahau jina wenyewe hauna app, uko ndio wabongo mashoga wanajiuza balaa.

driller⛏⚒
Itakuwa peperonity[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Pole ya nini sasa, aliniambia nimtumie nauli ya Boda boda... Nikamwambia panda ukifika ntalipia..na akafanya hivyo...nikamlipa boda boda akasepa zake...ye mwenyewe akadai elf 40...nikamjibu hamna tatizo...nikachukua chumba nikamgegeda...akasepa zake
Mi nawagegeda home kwangu, guest/lodge gharama sana[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Mi nawagegeda home kwangu, guest/lodge gharama sana[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
Mi nahofia kuibiwa maana sina imani nao hata kidogo, yaani mtu simjui kisha nimuingize ndani kwangu kirahisi rahisi tu!!.. Akikutegea dawa ya usingizi kosha akakisafishia nyumba itakuwaje?
 
Vitu vyako vidogo vidogo ambavyo vina thamani vitunze sehemu nzuri then ikifika ile mida ya kuingia kunako, funga milango yote then funguo waweza kuzitunza unapo jua wewe tu.

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji100][emoji36][emoji124][emoji125][emoji125]
 
Hii App ya badoo kila kitu ni hela. Kulike mtu hela, kulove mtu hela, kujua aliyekulike na kukulove hela. Bado tena upigwe hela na demu. Ngoja ni-uninstall.
Tumia ujanja mkuu huna haja ya kutoa pesa.. akikulike wewe mark rangi za picha kisha nenda kule kwenye walipo pitia picha kadhaa zenye rangi na ukiona zinazoendana wewe like ikimatch utapata msg hapo utaweza mtambua kwa picha yake na pia unamtumia msg ya kuomba date and then msikilizie kama wa mizinga mapema mpotezee huyo ni agent wa TRA
 
Back
Top Bottom