Mbona maelezo hayajitoshelezi?nmeachana nae maana leo nimemuona aseee figure matata sasa nkajua ntaelea tuu juu juu.
Mkuu na wewe ni member nini mule?
Heheheh eti "meter 800"Ah nilikutana na demu kituko badoo singida. Nilishindwa kutafuna. Ila badoo inatusaidia kama urber. Ukisafiri ukifika sehemu una search online nearby, girl, age between 18 to 35 years vitu vinamwagika vingine unakuta vipo meter 800 kutoka ulipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaamua kujiajiri mkuu.
Hii kweli, Sinza Mugabe na ni graduate wa cbe Mwanza naona kawekeza kwenye mwili
AmenNaomba mnyezi Mungu aniepushe hili nawatoto wangu na kizazi changu. Amini yarabi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawakubali sana wanaojiweka wazi hapa unaelewa kabisa unatoa kiasi gani unapata huduma..siuo kama wale wengine unachat nae baadae unasikia nina njaa mara nina matatizo ukiingia kingi umepigwa pesa pambaaaaf Njaa za kifala fala zitawaua kama unafanya biashara jianike tu na si kuleta usengerema wa kizamani..
Hii kweli, Sinza Mugabe na ni graduate wa cbe Mwanza naona kawekeza kwenye mwili
Kama unataka mungu akuepushe Usifauatilie nyuzi kama hizi utashawishika bibie maana shetani kadhamiria kukichafua hapa duniani watu washirikiane nae...omba sana sali sanaNaomba mnyezi Mungu aniepushe hili nawatoto wangu na kizazi changu. Amini yarabi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wanaume wengi huweka picha za kike na majina ya kike ili KUIBA.Sitaki hata kusikia huu mtandao, nilipata rafiki picha zake kama mnyarwanda anajiita mwanahawa dooo akanililia shida elfu 30 ile kumtumia ndio Ukawa mwisho wa urafiki wetu simu hapokei mwisho zikawa hazipatikani kabisa namba zake ni hz huyu tapeli 0718870900 na 0684642067
Hapo utakua unaongeza na sio kpnguza mawazoNgoja nijiunge na huo mtandao niendelee kupunguza mawazo na usawa huu wa Magu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatumia jina gani badoo?haka kadada Leo asubuhi nmekaona kamepta mtaani kwetu Ubungo maziwa kavaa kininja