Are you still here?Naomba mnyezi Mungu aniepushe hili nawatoto wangu na kizazi changu. Amini yarabi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi utuelewe tu hakuna namnaUnataka ndoa yetu iishie kati au hivi jamani si nilikukataza na huu uzi mie unanitaka nn jamani
Kilichofuata?.Nilimtongoza demu badoo tukawa tunachati sana kama wapenzi, nilikua natumia picha si zangu. siku tukapanga tukutane kwenye nyumba ya wageni ni mgegede. Nikatangulia room baadae akaja akagonga mlango alivyoingia niliduwaa aisee. Kumbe anafanya kazi na wife na kwenye harusi yetu alikua meid wa bibi harusi
Kwamba kafilisika na hana hela hata ya kulaTuma pesa tu mkuu kila asubuhi tuma pesa mchana tuma pesa usiku tuma pesa endelea hivyo kwa week 3 utaleta mrejesho
Baada ya kupigwa sanaaaaaaMi ni expert pande hizo, hata akiomba ataambulia maneno tupu[emoji38] [emoji38] haliwi mtu hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Wapendwa eeeh, jana si nimekatisha mitaa yetu ya badoo[emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] mbaya wangu nimemuona[emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Dawa yak na wewe m-badooNa wew unataka kuleta tena tabia za bado uku eeh[emoji1][emoji1][emoji1]
Ni kama betting.....I like it. Kibaya zaidi hata huko mtaani tunabet pia. So badoo na kitaa ngoma draw.Ha haaa Mkuu mbona kawaida tu si kama betting kuna kula na kuliwaaa...
Yeap. Ili mgawane na vingine pia.+255715754394 hii ipo sinza mugabe haina longolongo ukishuka kituoni vuta waya.
Cc. Kizuri kula na nduguzo
Ni pm namba. Just joking mazeeeFor sale huyo mzamie d.m kule 'gram unakula mzigo ukifika bei
Na kufilisika. AtajutaDuh, boss umeonja asali, naona unataka kuchonga mzinga kabisa.
Huwezi. Soon utarudi. Achana na ugonjwa wa mbunye na mapicha mchafu. Huo hauna tofauti na ugonjwa wa kupiga chabo.Leo nimeona bora nijitoe kwenye badoo na pia nimefuta kabisa app yao, nataka niwe mtu mwema sahv
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jamii Forums mobile app
Mkuu hata huku nao ni betting pia. Hata mtaani huwa tunafanya betting pia. Bila betting huwezi kupewa mzigoMkuu bora hela yako unge beti tu
HSIRA za mkizi hizoPale mpemba alipopigwa pesa ndefu na simu ikazimwa
nimependa picha ya avatar yako mkuu. una bonge la mwanya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahhaa hii imenichekesha kwa sautiPale mpemba alipopigwa pesa ndefu na simu ikazimwa
Unamdai straight. Unamwambia sms niliyokutumia pesa hii apa.Badoo inawaibisha na kuwashushia hadhi zao wanawake.
Just imagine upo ofisi moja kali matata sana hapo dar, mle ndani kuna vibinti unafanya navyo kazi ila vina uso wambuzi yaani fully ubize na usmart. Hamaki unafungua laptop yako unaingia badoo na fake id unavikuta kule na vi picha vya ofisi, kwa vile wameruhusu wawe tracked na hio service unaona location ni mita 1. Una muomba urafiki mna chat baadae anataka kukutapeli unamzukia live... vipi mbona hukuja.. basi inakuwa ni aibuuuuu