Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nilimtongoza demu badoo tukawa tunachati sana kama wapenzi, nilikua natumia picha si zangu. siku tukapanga tukutane kwenye nyumba ya wageni ni mgegede. Nikatangulia room baadae akaja akagonga mlango alivyoingia niliduwaa aisee. Kumbe anafanya kazi na wife na kwenye harusi yetu alikua meid wa bibi harusi
Kilichofuata?.
 
Mi ni expert pande hizo, hata akiomba ataambulia maneno tupu[emoji38] [emoji38] haliwi mtu hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Baada ya kupigwa sanaaaaaa
Wapendwa eeeh, jana si nimekatisha mitaa yetu ya badoo[emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] mbaya wangu nimemuona[emoji116] [emoji116] [emoji116]
f87559a87a857955c3b5dc1c2cb80220.jpg
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Ha haaa Mkuu mbona kawaida tu si kama betting kuna kula na kuliwaaa...
Ni kama betting.....I like it. Kibaya zaidi hata huko mtaani tunabet pia. So badoo na kitaa ngoma draw.
 
Leo nimeona bora nijitoe kwenye badoo na pia nimefuta kabisa app yao, nataka niwe mtu mwema sahv
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
Huwezi. Soon utarudi. Achana na ugonjwa wa mbunye na mapicha mchafu. Huo hauna tofauti na ugonjwa wa kupiga chabo.
 
Badoo wapo poa wastaarabu wanaotafuta wenza tu watulie...ila asilimia kubwa wapo kazini..!
 
Badoo inawaibisha na kuwashushia hadhi zao wanawake.

Just imagine upo ofisi moja kali matata sana hapo dar, mle ndani kuna vibinti unafanya navyo kazi ila vina uso wambuzi yaani fully ubize na usmart. Hamaki unafungua laptop yako unaingia badoo na fake id unavikuta kule na vi picha vya ofisi, kwa vile wameruhusu wawe tracked na hio service unaona location ni mita 1. Una muomba urafiki mna chat baadae anataka kukutapeli unamzukia live... vipi mbona hukuja.. basi inakuwa ni aibuuuuu
Unamdai straight. Unamwambia sms niliyokutumia pesa hii apa.
 
Back
Top Bottom