Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kule utasema kuna hisa na watu wa sinza na mabibo,mie huwa nikiwapata tunaenda jamboree mabibo saaaaafi
 
Na wewe uko kundi gani? Maana inaonekana huko ni mwenyeji
 
nipo Badoo mwaka wa nane sasa na sioni chochote kibaya. Umalaya ni sifa ya mtu mwenyewe tu. Badoo, Facebook, instagram, Jamii Forums, Watsap kuna tofauti gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…