Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari yako!? Hebu badili avatar hiyo aisee kabla sijakupiga ban. Kwa huu mkwara lazima uombe pooh!Mmmh... Watu wanatumia fursa ipasavyo...!!!
Hahahah mkuu usisahau kutuletea mrejesho, maana huko yaelekea kuna kula na kuliwaHatimae Leo nimejiunga badooo
Dhuuuuu[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mm kuna jamaa angu ana account 59 za Badoo na ni mvulana kazi yake kutapeli tu
hiyo app ipo playstore?Siku izi wadada wazuri wapo kwny app ya Your love yaan sijawahi omba namba nikakataliwa
Ipo ila anza na hii Tantan napo mambo ni motooo iyo your love masharti ya VIP members yamekuwa kero tofauti na uku Tantan ni kuteleza tuhiyo app ipo playstore?
We nae kumbe BAZAZI tu.Wazazi lindeni watoto wenu, wakija huku nje sisi tunawatafuna tu, ile mwana wa mwezio ni wako haipo tena. Msipolinnda watoto wenu sisi huku tutawalinda kwa namna nyingine.
hujamalizia mkuu,ulipokutana nao nini kiliendelea mzee baba au uliwaelekeza waache kutumia mitandao wajiwekeze ktk masomo na nahc uliwaita kwako au pub ukawapa semina elekezi,safi sana mkuu kwakujali maana wazazi wote tungekuwa hivi nchi yetu ingefika mbali sanaHabari zenu wana jukwaa.
Kwa wale watumiaji wa mitandao ya mahusiano kama Badoo, Hitwe na mingine sio ajabu kua timewahi kukutana na watoto/mabinti wadogo sana kwenye hii mitandao wengine bado wakiwa shuleni.
Kwa upande wangu nimebahatika kukutana na mabinti wadogo sana kwenye hiyo mitandao.
Nashindwa kuelewa hawa mabinti wadogo kabisa nani anawaexpose kwenye mitandao mikubwa hivi.
Mwaka 2014 nilikutana na binti mmoja hivi mdogo sana, alikua anasoma kidato cha tatu shule moja ya wasichana iko katikati ya jiji la Dar es salaam.
Mwaka 2015 pia nikakutana na binti mwingine kwenye huo huo mtandao.
Juzi hapa nimekutana na binti mwingine mdogo kwenye mtandao wa Hitwe.
Nashindwa kuelewa, hawa mabinti wadogo nani anawaexpose kwenye hii mitandao? Ni ukosefu wa malezi bora au shida gani, mfano huyu mmoja niliekutana nae mwaka 2014 kwao wana maisha mazuri kabisa, baba yake ni mtu ana heshima zake kwenye jamii.
Wazazi mnashindwa wapi, mbona watoto wadogo hawa wanaanza uchakubimbi mapema hivi.
Wazazi lindeni watoto wenu, wakija huku nje sisi tunawatafuna tu, ile mwana wa mwezio ni wako haipo tena. Msipolinnda watoto wenu sisi huku tutawalinda kwa namna nyingine.