Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

nilipata mtoto mrembo sana badoo, nilipiga mara moja tu nikanogewa halafu kalikuwa kastaarabu sana, maskini baada ya muda kakanambia kana mimba ya mhe. mbunge mmoja kaligoma kumtaja jina na kalisema hakampendi ila kanampenda kwa sababu ya senti zake kakawa hadi kanashabikia ccm. kakasema kanataka kuitoa ile mimba, baada ya wiki kakaitoa. nikawa nakapigia simu kukajulia hali kakawa kanasema kametokwa damu sana kwenye hilo zoezi na kanaumwa sana. baada ya muda kakawa hakapatikani hadi sasa kimya. nadhani kamerest in peace. hadi leo namba ninayo kila ukipiga hakapatikana.
 
5d07e2425eaf932528a48ab7b2ea1936.jpg
picha yangu inafanya nini hapa?
 
d54dd4058ea69a6e7daace1a120f2f4c.jpg
8692698203326061ad279d2068f3257f.jpg
7f469265aa92a202434e8fe0a74fc08e.jpg


Huyu ni tapeli Mkubwa katika mitandao Ya kijamii hasa hasa badoo nadhani tushauriane kumkamata huyu mtu.maana ni Shida kashawatapeli watu wengi sana.nikiwemo Mimi nilimutumia elfu 10 .kwa Mashati aje tuonane Lkn mwisho wa Siku Ukawa ni maumivu .nimekusudia kuchafua Ktk mitandao yoote ikiwemo .nataka kuprint Picha zake kwa wingi halafu nizisambaze Posta yoote Na. Viunga yake has a Zanzibar Maana amekalia ni mkazi wa huko visiwani.bila uisahau kariakoo.na MAGOMENI.km bujeti Yangu itatosha nafika mpk Arusha Na. Pia kutangaza ktk gazeti la udaku japo moja natummpia tangazo huko.
Safi
 
Honestly Badoo nimewatafuna mademu wawili, japo nilishaonana na mademu zaidi ya kumi wa badoo ila nmebahatika kuwakaza wawili tu! Mademu wa badoo wanapenda sana pesa na maisha ya juu wengne watakuuliza unaishi wapi ili wajue kama unachunika wakuchune haswa! Hao wawili niliowatafuna sikutumia hata pesa ni maneno tu hao wengne walikuwa wanataka pesa ndefu, ila ni mademu wakali sana tu mpk leo namba zao ninazo naangaliaga tu Dp zao nauchuna! Currently niko bize but nikiwa free tena ntawatafuna kama kawa...
Usipokuwa Makini Badoo, utaishia kutoa msaada wa pesa na Papuchi hauli, ubahili wangu unanisaidia sana.!
Nirushie hizo number za wawili, inavyoonekana huwahitaji tena,kizuri kula na nduguyo
 
Revolution ya Facebook/insta/snapchat na Twitter imeua social networks za zamani na kuzifanya ziwe za dating na biashara Kaman hizo hui ni pamoja na Badoo, Hi5, Tagged, soon MySpace
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom