ngulyavyangu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2019
- 203
- 266
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nisaidie nijue hyo mbinu yakoHuyo wa chini mpigaji huyo...akiketa usanii nawe kuwa msanii tu.
Kuna mmoja anaitwa Aisha anajifanya yuko Masaki kumbe yupo Moshi. Alituma namba anataka hela..sasa mimi nina access ya kujua mtu yuko wapi. Kumcheki kumbe yupo Moshi. Nikamblock.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilo group ni la watu wa mkoa mmoja yoote,Kuna watoto kweli boss?? au wamejaa wa kina juma lukole na kina James delisious, embu tupia baadhi ya sample mkuu
Hahaha Dada ake finally na wewe upo tan tan;;; bado sijakugumia tu ukoNjoo huku kuna mahandsome nikulike tu nakuchat weraaaaaView attachment 1035779
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nilikuwa namuuliza swali mkuu kwamba kuna watoto wakutosha kwenye ilo group au wametujazia machoko" mahanisi"
tunataka unapoliwa hela unaliwa kihalaliMimi mwenyewe nilikuwa namuuliza swali mkuu kwamba kuna watoto wakutosha kwenye ilo group au wametujazia machoko" mahanisi"
Hahaha Dada ake finally na wewe upo tan tan;;; bado sijakugumia tu uko
Haha mods wamefuta uzi?Kuna jamaa kapigwa buku 12 huko basi amecharukwa/amechafukwa wakati sie wengine humu tumeshazoea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
HUYU APA - JamiiForums
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Nilike na mimi basi tantan kule tuchattNjoo huku kuna mahandsome nikulike tu nakuchat weraaaaaView attachment 1035779
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha tushalizwa sana mkuu: lakini wembe ni ule ule hatupoi,Kuna jamaa kapigwa buku 12 huko basi amecharukwa/amechafukwa wakati sie wengine humu tumeshazoea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
HUYU APA - JamiiForums
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Tan tan kule kuna Toto nimeliopoa sijui ndo atakuwa huyu DemissNilike na mimi basi tantan kule tuchatt
Sasa hapa anaonyesha mipaja mibovu ndo nn?Tan tan kule kuna Toto nimeliopoa sijui ndo atakuwa huyu Demiss View attachment 1042164
halafu ha ha haNjoo huku kuna mahandsome nikulike tu nakuchat weraaaaaView attachment 1035779
Sent using Jamii Forums mobile app