Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Haka katoto nakamendea nikikala tu!
Screenshot_20191011-000018.jpeg

Nafuta na app ya badoo
 
Wakuu

Huyu demu nimemchunguza vya kutosha kitabia na mienendo yake kwa ujumla na sasa nimejiridhisha pasipo chembe ya mashaka kuwa huyu ndiye atakayenifaa maishani.

Kitu ambacho bado kinachonitatiza huyu dem nimemtoa mtandaoni.

Wakuu naomben uzoef wenu. Hawa warembo wa huku badoo wanaweza kufaa kwa matumiz endelevu kweli? coz naona nyuz nyngi hapa ni za kuwadis.

Waumin wa picha vuteni subra
Umeridhika pasipo na chembe ya mashaka ukijua mmekutana mtandaoni.
Sasa tatizo lako liwapi tena?
Ulitaka mkutane mbinguni?
 
Back
Top Bottom