Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 706
- 1,425
Instagram miaka ya 2000?? WhatsApp miaka ya 2000?? Ngoja nirudi chimbo kwanza nifuatilie maana miaka hiyo nilikuambia kijijini nachunga ng'ombe sijui dunia ina vitu kama hvo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Instagram miaka ya 2000?? WhatsApp miaka ya 2000?? Ngoja nirudi chimbo kwanza nifuatilie maana miaka hiyo nilikuambia kijijini nachunga ng'ombe sijui dunia ina vitu kama hvo
Kwa nijuavyo instagram imekuwepo kuanzia mwaka 2010 kwenda juuMwana alijifanya mwanamke kipindi hicho katikati ya miaka ya 2000..
Mwana anaingia MP?
Au Marafiki.com nimepata Sana vichwa mule. Yaani kila Aina Kuna siku niligonga wawili mmoja mzanzibari mwingine yupo Mlimani city tukionanan Hadi leo ananipa hata pale parkingAnatufanya wote mazwazwa??
Tuliotumia smartphone kabla ya 2010 tunakumbuka mziki wa kuchat ulivyokua tukitumia ebuddy
Watsapp na insta za juzi huku badoo ishachuja??
Bora angesema mtandao wa hi5
Hapo sasa!! Miaka ya 2000 hata sidhani kama smartphone zilikuepo sasa sijui hzo WhatsApp na Instagram alikua anazipata kwenye zile zimu sa Philips za mkonga!Anatufanya wote mazwazwa??
Tuliotumia smartphone kabla ya 2010 tunakumbuka mziki wa kuchat ulivyokua tukitumia ebuddy
Watsapp na insta za juzi huku badoo ishachuja??
Bora angesema mtandao wa hi5
Ilaa Wee jamaa unatuonajee lakini????????