Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

IMG_6033.png

@Mshana Jr umeona chapati ya maji nyingine [emoji16]
 
Shayma nlimtia mwaka jana 2020, yaani tumefika room akaisokomeza ndani hata kabla sijavaa ndom. Ila alikua ananuka k balaa. Nilijuta sana, nikapima ngoma niko mzima.
hii mali naijua,ni ya kitambo zilianzaga whatsapp miaka ya 2016
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo, yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu, wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana, nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana, yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Wapo wapi mtu??
 
Back
Top Bottom