Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Baada ya muda mrefu kuwa bored nikafungua tena account badoo aiseee nimekula tako kwa 15000 halafu badoo wameniblock

Screenshot_20211129-144025.png
 
Huu mtandao tatzo wanatak uweke picha yako halisi, ndo maan siuwezi mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza weka picha isiyo halisi ila usiverify tu ila wamenikatili sana kipindi hiki nilicho kwenye mkwamo, mimi sikuweka picha halisi
 
Vijana wanahangaikia ngono kuliko hata wanavyoyahangaikia mafanikio kwenye maisha yao...
Kuhangaikia ngono ni ishara tosha ya kuwa umeshaanza kufanikiwa....no money no honey kumbuaka hilo.
Mbususu za mtongozo hazipo nyingi. Nyingi sasa ni za mihela tuu
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo, yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu, wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana, nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana, yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Bila shaka na wewe upo kwenye mtandao huko wa Badoo ndio maana umeyajua hayo na kama upo huko inabidi mwenza wako akuogope je umemuambia akuogope?
 
Aisee, nchi hii bwana, inavituko vingi, sijawahi kukanyaga jiji la Dar, ila nimetokea kulichukia isivyo kawaida kutokana na mambo yanayoendelea huko, jiji hili ndilo litafanya mungu arudishe adhabu ya sodoma na gomora kwa kweli
 
Telegram hakuna udalali ni wewe na pesa yako tu na jinsi ya kujua verified bit**es..unapatana nae bei DM anakutajia location aliyopo then unaenda kula mzigo...kama demu hana chumba ujue ni tapeli,usitume nauli ifate mbususu ilipo.

Ova.
 
Back
Top Bottom