Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Unatafuta nini huko coca?
[emoji23][emoji23][emoji23] nlishawahi kua kule, ila kulinishinda tyuuh, nkalog out mazima, ila baada ya muda flan nkataka niingie upya mmmh maelezo na kanuni vilinishinda, nkaamua niachw tyuuh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nlishawahi kua kule, ila kulinishinda tyuuh, nkalog out mazima, ila baada ya muda flan nkataka niingie upya mmmh maelezo na kanuni vilinishinda, nkaamua niachw tyuuh.
Ulifaidikaje?sidhani kama ni sehem nzuri ya kuwako coca.
 
Telegram hakuna udalali ni wewe na pesa yako tu na jinsi ya kujua verified bit**es..unapatana nae bei DM anakutajia location aliyopo then unaenda kula mzigo...kama demu hana chumba ujue ni tapeli,usitume nauli ifate mbususu ilipo.

Ova.
Mi mbona naijua telegram kama app ilivyo whatsapp.Au kuna telegram nyingine? na contacts ninazoona ni zile zilizoko kwenye simu yangu. Hao wengine unawaonaje?
 
Telegram hakuna udalali ni wewe na pesa yako tu na jinsi ya kujua verified bit**es..unapatana nae bei DM anakutajia location aliyopo then unaenda kula mzigo...kama demu hana chumba ujue ni tapeli,usitume nauli ifate mbususu ilipo.

Ova.
Tupe linki na siye sasa tuone
 
Jamani saidia telegram nkisachi majina siyapati haya ya local name chini pameandika global search napata majina ya ulaya tu
 
Aisee, nchi hii bwana, inavituko vingi, sijawahi kukanyaga jiji la Dar, ila nimetokea kulichukia isivyo kawaida kutokana na mambo yanayoendelea huko, jiji hili ndilo litafanya mungu arudishe adhabu ya sodoma na gomora kwa kweli

Usije mjini
 
Jamani saidia telegram nkisachi majina siyapati haya ya local name chini pameandika global search napata majina ya ulaya tu
Usiende kabisa kule, unaweza kukutana na mzee wako au wajomba zako shauri yako.
Mimi nimekutana na shemeji yangu wa kiume majira ya saa 8 usiku yupp online kule kwenye grupu moja matata la kibongo

Uzuri nilikuwa natumia username fake
 
Back
Top Bottom