Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mbona inahitaji malipo hakuna namna ili kuepuka malipo wananzengo tufaidi hao watoto wa huko
 
Mbona inahitaji malipo hakuna namna ili kuepuka malipo wananzengo tufaidi hao watoto wa huko
Hapo mkuu fanya ivi ingia utakuta sehem ya kubrowse kwenye filter chagua mkoa wako alaf pigs ok then jaribu kuchagua dem yyte wengne kutext Ni free
Njia nyngne ww uwe unawalike akikulike back mnamatch then mnachat free
Bonus Kama uko mbya naweza kupa connection ya huyu

Screenshot_20211225-214706.png
 
Back
Top Bottom