Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nshalamba mademu 15 kutoka badoo. Yaani wakiomba pesa usitume, akitoa number mpigie afu mlutane umpatie mkononi. Daaah nlikua napeta yaani.
Afu walainii... Jamani badoo umenitunza sana.
Kwa kweli kwa sie madomo zege badooo imeturahisishia mambo
 
Back
Top Bottom