Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah Nonde! Umenikumbusha mitaa yangu ya tizi enzi zile nasizi majengo kabla maisha hayajanivuruga nikatokomea Simike ndani ndani huko... Ni miaka mitano sasa na maisha yamebadilika ila nimeimiss Mbeya...Unavumiliaje ujinga kama huo!!!!
Yaani nimkute manzi angu na njemba wametoka kutiana niwaache???...Yaani kichapo kingeanza palepale, ningeanza na hako kajamaa kako uchi,ni vifuti vya mapumbu hadi kakinai, manzi nae adhabu yake angejuta kudate namimi.
Au hicho kijamaa kilikuzidi mbavu ndio maana ukawa mnyonge???
Watoto wa Nonde hatukosi beto la kumtoboa mtu tukimshindwa kwa ngumi,
Sinaga simile na mambo ya kijinga.
Hakikisha hufaminiwi wewe kwanza.Ntafanya yote lakini sio kumfumania nikaendelea nae
Welding-cheche kwanza then vyuma vinaunganaMzizi unaijua tofauti kati ya welding na wedding!
Ganja ni Mswanga, au kipindi marehemu Chuchu MabatiniDaaah Nonde! Umenikumbusha mitaa yangu ya tizi enzi zile nasizi majengo kabla maisha hayajanivuruga nikatokomea Simike ndani ndani huko... Ni miaka mitano sasa na maisha yamebadilika ila nimeimiss Mbeya...
Ndugu wazo nililipata pale ilikua nimkate uume tu ndo akili nilokuwa nayo,Una moyo umkute kitandani na umsamehe duu
Kutosha kwa maana ya sex kitandani si kweli, ninachoshukuru nilimpata wa saizi yangu hilo tuWakaka km wewe mmepooa hadi kwa bed mko hivyo hivyo Yani,, uzuri wenu hampigagi matukio ila sasa ndo hivyo hamtutoshi vizuri
Maamuzi haya yangenicost sana wakati mwingine nasema ni Binti tu na tamaa zakeUnavumiliaje ujinga kama huo!!!!