My dia kwanza kabisa hakunaga dawa ya kutoa michirizi tumboni ingawa kuna watu wanasema mafuta gani sijui /lotion cocoa butter ya wap sijui inatoa lakn m nakwambia hakuna kitu kama hichoNa kama umeshazaa watoto wawili na tumbo limelegea kuna uwezekano wa kurudi katika hali ya kawaida kama ulivokua hujazaa?? Na nn dawa ya kutoa michirizi ya tumboni? Mana naskiaga na yenyewe inalegeza tumbo
Michirizi haina dawa ila inatakiwa kucontol isitokee, during pregnancy unatakiwa kupata tumbo mafuta, yani tumbo lisikae kavu, hapo hupati MichiriziNa kama umeshazaa watoto wawili na tumbo limelegea kuna uwezekano wa kurudi katika hali ya kawaida kama ulivokua hujazaa?? Na nn dawa ya kutoa michirizi ya tumboni? Mana naskiaga na yenyewe inalegeza tumbo