Mwanamke baada ya kujifungua, nini kifanyike apunguze tumbo

Mwanamke baada ya kujifungua, nini kifanyike apunguze tumbo

henya

Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
62
Reaction score
25
Ivi inawezekana mwanamke baada ya kujifungua tumbo lake likawa gumu kama zaman?? Na ni nini chakufanya ili yale manyama nyama ya tumboni yaishe yani tumbo liache kulegea na kucheza cheza?
 
Ndiyo inawezekana,kwa ambae hajafanyiwa operation akijifungua tu huwa wanafunga tumbo ili lijikaze pia inabidi afanye mazoezi ya kukaza tumbo na kupunguza tumbo kwa waliofanyiwa operation itabidi asubiri kidonda kikauke ndipo aanze kufanya mazoezi maana wao huwa hawafungwi tumbo.
 
Mmmmh mke wangu ntafunga pia au....!!?
 
Na kama umeshazaa watoto wawili na tumbo limelegea kuna uwezekano wa kurudi katika hali ya kawaida kama ulivokua hujazaa?? Na nn dawa ya kutoa michirizi ya tumboni? Mana naskiaga na yenyewe inalegeza tumbo
 
My dia kwanza kabisa hakunaga dawa ya kutoa michirizi tumboni ingawa kuna watu wanasema mafuta gani sijui /lotion cocoa butter ya wap sijui inatoa lakn m nakwambia hakuna kitu kama hicho
Kama n za uzazi zitaisha zenyewe /sometimes haziishi kabisa ila zinapungua kama mwili ukipungua pia
Swala la tumbo kulegea n simple thing mazoez as much as u can ,yanakaza tumbo kwa uhakika zaidi
Sas kama hupend mazoez imekula kwako shost
 
Kikubwa nikuacha kubugia mamitori pamoja na manyama ya mafuta wakti wa uzazi kwa saaana haswa hii imekuwa shida sana kwa Mama zetu wa kaskazini akitoka uzazi tumbo linakuwa kubwa hadi unaweza dhani kuna mtoto mwingine amebaki...Soon baada ya kujifungua unaweza kununua Belly Wraps unakuwa unajifunga tumboni huwa inasaidia kwa kiwango kikubwa sana kurudisha size ya tumbo na kulikaza..
 
Ni mazoezi kwa sana na kupunguza chakula
 
Na kama umeshazaa watoto wawili na tumbo limelegea kuna uwezekano wa kurudi katika hali ya kawaida kama ulivokua hujazaa?? Na nn dawa ya kutoa michirizi ya tumboni? Mana naskiaga na yenyewe inalegeza tumbo
Michirizi haina dawa ila inatakiwa kucontol isitokee, during pregnancy unatakiwa kupata tumbo mafuta, yani tumbo lisikae kavu, hapo hupati Michirizi
 
Mchawi hapo ni mazoezi! ukifanya mazoezi nyama zote zinaisha!

Hivi michirizi huwa inaisha? Kuna mmoja nilimwona ana michirizi kwenye mapaja dah
 
Back
Top Bottom