dume30
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 549
- 530
Habari Wana bodi ,Ikiwa Leo 8/3/2025 ni siku ya wanawake duniani kwa upekee kabisa mwaka huu naomba siku hii ni-dedicate kwa mwanamke wa nguvu Mkuu wa shule Chamazi Sekondari E.Chilewa .
Mama huyu ni mchapakazi na hodari katika kusimamia majukumu yake ipasavyo,kukuza vipaji vya uongozi,mfano Bora wa kuwahi kazini, kukuza ufaulu wa shule ,Kutekeleza kwa ufasaha miradi ya serikali anayopewa kusimami(Amesimamia ujenzi wa shule kama Dovya Sec,Imani dhabiti Sec pamoja na shule ya advance mpya ya Chamazi)
Vyombo husika naviomba vimmulike na darubini kwa ukaribu vitathibitisha haya yote anastahili Promotion,Mimi ni mzazi wa mwanafunzi na jirani ambaye naishi karibu na shule nimeyaona hayo natumaini watayaona mengi zaidi .
Inawezekana hayupo humu au yupo Pongezi nyingi zimfikie.
Heri kwako ya siku ya wanawake duniani Madam E.Chilewa.