Mwanamke changia hapa, Mwanaume atakayeku-quote mjibu kwa kutumia emoji au picha

Mkuu
Hyo mishumaa Hapo kwa avatar sio poa
20181218_025429.jpg
 
Kuchangia sh. Ngapi kiwango cha chini ili wanaume tujue mapema
 
Najua wengi sana tunatamani kuwasiliana kwa kutumia emoji au picha.

Mwanamke changia uzi huu, mwanume atakayeku-quote, mjibu kwa kutumia emoji au picha yoyote.

Karibuni.
signature yako ni kuntu
 
Jamani Mimi natafuta mchumba 2019 sitaki kuanza nikiwa single .kwa aliye serious naomba aje PM
SIFA NA VIGEZO
awe na umri usizidi 22
Asiwe ananiomba hela Kwanza Mimi maisha yangu bado sijawa vizuri Sana kwa hiyo sina pesa sana
mzee unayumba hauko serious
 
Jamani Mimi natafuta mchumba 2019 sitaki kuanza nikiwa single .kwa aliye serious naomba aje PM
SIFA NA VIGEZO
awe na umri usizidi 22
Asiwe ananiomba hela Kwanza Mimi maisha yangu bado sijawa vizuri Sana kwa hiyo sina pesa sana
Unataka kujipa Majukumu ya Mzazi km Kulia ada nk
 
Jamani Mimi natafuta mchumba 2019 sitaki kuanza nikiwa single .kwa aliye serious naomba aje PM
SIFA NA VIGEZO
awe na umri usizidi 22
Asiwe ananiomba hela Kwanza Mimi maisha yangu bado sijawa vizuri Sana kwa hiyo sina pesa sana
Tafuta kwanza maisha mkuu coz hamna mahusiano ambayo hutoi chochote hata ya kusuka , mahusiano bila kuwa na chochote mfukoni ni sawa na kula wali mkavu bila mboga unakosa radha
 
Back
Top Bottom