Mwanamke changia hapa, Mwanaume atakayeku-quote mjibu kwa kutumia emoji au picha

Mwanamke changia hapa, Mwanaume atakayeku-quote mjibu kwa kutumia emoji au picha

Kwa wale ma bachelor's wenzangu tunapoelekea kumaliza mwaka tusisahau kauli mbiu yetu ileile..
'Usijali nitaoa mwakani'
Kama una mchumba mwambie
'Usijali ntakuoa mwakani'
 
Back
Top Bottom