MkuuNajua wengi sana tunatamani kuwasiliana kwa kutumia emoji au picha.
Mwanamke changia uzi huu, mwanume atakayeku-quote, mjibu kwa kutumia emoji au picha yoyote.
Karibuni.
signature yako ni kuntuNajua wengi sana tunatamani kuwasiliana kwa kutumia emoji au picha.
Mwanamke changia uzi huu, mwanume atakayeku-quote, mjibu kwa kutumia emoji au picha yoyote.
Karibuni.
mzee unayumba hauko seriousJamani Mimi natafuta mchumba 2019 sitaki kuanza nikiwa single .kwa aliye serious naomba aje PM
SIFA NA VIGEZO
awe na umri usizidi 22
Asiwe ananiomba hela Kwanza Mimi maisha yangu bado sijawa vizuri Sana kwa hiyo sina pesa sana
We weka tu!Kabla sijachangia
Picha yangu ama?!
Unataka kujipa Majukumu ya Mzazi km Kulia ada nkJamani Mimi natafuta mchumba 2019 sitaki kuanza nikiwa single .kwa aliye serious naomba aje PM
SIFA NA VIGEZO
awe na umri usizidi 22
Asiwe ananiomba hela Kwanza Mimi maisha yangu bado sijawa vizuri Sana kwa hiyo sina pesa sana
Juris ignorantia non excusant
Juris ignorantia non excusant
Tafuta kwanza maisha mkuu coz hamna mahusiano ambayo hutoi chochote hata ya kusuka , mahusiano bila kuwa na chochote mfukoni ni sawa na kula wali mkavu bila mboga unakosa radhaJamani Mimi natafuta mchumba 2019 sitaki kuanza nikiwa single .kwa aliye serious naomba aje PM
SIFA NA VIGEZO
awe na umri usizidi 22
Asiwe ananiomba hela Kwanza Mimi maisha yangu bado sijawa vizuri Sana kwa hiyo sina pesa sana
Sema kweeliWe weka tu!
Ndio picha yakoKabla sijachangia
Picha yangu ama?!
Yes ignorance of the law is not a defence against criminal liability but ignorance of fact afford excuse. Ignorantia facit excusat...Juris ignorantia non excusant
Picha yangu si uko nayo! Hebu itume basiNdio picha yako