Marry hujambo mamaaa e I o u
🍑🍑Juris ignorantia non excusant
Niliipata wapiPicha yangu si uko nayo! Hebu itume basi
Acha kuzuga basi... Si nilikutumia?!Niliipata wapi
Mmh siioni nitumie tenaAcha kuzuga basi... Si nilikutumia?!
SitakiMmh siioni nitumie tena
Uliipiga umelegeza macho sana na ulivyomzuri nikaona itanidatisha tu bureSitaki
Kwa nini uliifutaa
Sijambo kabisa Dada. Heri ya KrismasMarry hujambo mamaa
😀😀😀😀😀😀😀😀Kuchangia sh. Ngapi kiwango cha chini ili wanaume tujue mapema
HahahahaahaJamani Mimi natafuta mchumba 2019 sitaki kuanza nikiwa single .kwa aliye serious naomba aje PM
SIFA NA VIGEZO
awe na umri usizidi 22
Asiwe ananiomba hela Kwanza Mimi maisha yangu bado sijawa vizuri Sana kwa hiyo sina pesa sana
Na ambao hatuna emoji tunafanyaje?Najua wengi sana tunatamani kuwasiliana kwa kutumia emoji au picha.
Mwanamke changia uzi huu, mwanume atakayeku-quote, mjibu kwa kutumia emoji au picha yoyote.
Karibuni.
UtapataJamani Mimi natafuta mchumba 2019 sitaki kuanza nikiwa single .kwa aliye serious naomba aje PM
SIFA NA VIGEZO
awe na umri usizidi 22
Asiwe ananiomba hela Kwanza Mimi maisha yangu bado sijawa vizuri Sana kwa hiyo sina pesa sana
Hizi lips mbona kama nishawahi kuzidendesha?
Ndo macho yangu yalivyo bwanaUliipiga umelegeza macho sana na ulivyomzuri nikaona itanidatisha tu bure
Safi sana nimeipendaKwa wale ma bachelor's wenzangu tunapoelekea kumaliza mwaka tusisahau kauli mbiu yetu ileile..
'Usijali nitaoa mwakani'
Kama una mchumba mwambie
'Usijali ntakuoa mwakani'