Mwanamke changia hapa, Mwanaume atakayeku-quote mjibu kwa kutumia emoji au picha

Mungu nae alijua mngekuwa mnatugonga tungekufa na nyege-zi ,mashauzifool,
 
Jamani Mimi natafuta mchumba 2019 sitaki kuanza nikiwa single .kwa aliye serious naomba aje PM
SIFA NA VIGEZO
awe na umri usizidi 22
Asiwe ananiomba hela Kwanza Mimi maisha yangu bado sijawa vizuri Sana kwa hiyo sina pesa sana
Ukipata anaetaka pesa mlete kwangu
 
Najua wengi sana tunatamani kuwasiliana kwa kutumia emoji au picha.

Mwanamke changia uzi huu, mwanume atakayeku-quote, mjibu kwa kutumia emoji au picha yoyote.

Karibuni.
Da Jane imebidi nikuquote wewe kwasababu ya hiyo mikumaa kwenye avatar yako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…