Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Proud mchepuko ♥️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tajiri mmoja mkubwa hapa Mwanza , aliyemuokoa ni mchepuko akamfichia Mali zake za magendo Mana walienda kusachi kwake hawakukuta kituMaelezo meeeengi, hebu michepuko watengwe kidogo
Kuna muda wanasaidia sana pale njia kuu inaposumbua
Sidhani kama mama yako angegawa kimipango ungekuwa na ujasiri wa kuandika kipuuzi hivi, au wewe hukulelewa ktk malezi ya baba na mama?Siwashauri bali ndio hali halisi ya maisha .Watoe kimipango aisee wanagawa mnoo wapunguze kugawa.
InasikitishaBongo kwa kujadili nonesense issues kama michepuko na Simba/Yanga wako makini kweli kweli.
Hawajadili ni kwa nini umbali kutoka Ethiopia mpaka Arusha/Kilimanjaro ni KM 1,935.5
Na umbali kutoka Arusha/Kilimanjaro mpaka Rufiji(kwenye bwawa la kuzalisha umeme) ni KM 805.6 lakini kodi za walalahoi zinaenda kununu umeme Ethiopia badala ya kununua kutoka Rufiji ambapo tulishaambiwa kuwa umeme umezidin mpaka mitambo mingine imezimwa.
Enzi hizo watu walikuwa wanaolewa wakiwa wadogo na wazazi walikuwa wanawachagulia mabinti zao waume.Hauwezi kuwambia wakae bila kumbatona maana tunajua hilo haliwezekani. Cha msingi ni kugawa kimipango mi nashangaa unaona mwanamke anaolewa na mtu kisa anajua kumbato vizuri. Utadhani watoto watakula mapenzi aisee. Wanawake wengi hawajui thamani zao maisha hayana formula ndugu yangu.Sidhani kama mama yako angegawa kimipango ungekuwa na ujasiri wa kuandika kipuuzi hivi, au wewe hukulelewa ktk malezi ya baba na mama?
Hawa wanafanya uovu kabisa.Na wale wanaochepuka mume wa mtu na mke wa mtu je?
Kutu huliwa na kitu...Cha mtu huliwa na mtu...🐒
Enhee...Kutu huliwa na kitu...
Wewe ni wa mtu kwani...Enhee...
Hivyo hivyo kwani hata kwenye sii hasa akizingua huyu mwingine anapora kijiti.Maelezo meeeengi, hebu michepuko watengwe kidogo
Kuna muda wanasaidia sana pale njia kuu inaposumbua
Tatizo tunavichukulia hivi viumbe kama kwamba havina akili na vinafanya uzinzi bila utashi Wao. Haya ni makosa makubwa sana ya jamii kwa sasa.Ukubali ukatae huu ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli,
1) Ukiwa umetoka kula bata na mume wa mtu,
Wewe utaenda nyumbani kwenu lakini yeye atarudi nyumbani ambapo anaishi na familia yake.
2) Kumbuka kua mkimaliza ku sex nae hutupa condom ambazo mlitumia mbali zaidi,
Ili mke wake asifkirii chochote na anafanya hivo kwa hofu ili asivunje ndoa yake.
3) Akifika barabani hununua pipi ili asafishe harufu yako yote,
Hufanya hivyo Ili kuilinda ndoa yake isivunjike.
4) Mara nyingi wanaume wenye tabia kama hii,
Hujutia sana kufanya uhalifu huo wakati wakiendesha gari kuelekea majumbani kwao.
5) Kumbuka akimaliza ku sex nawewe lazima aende bafuni aoge vizuri,
Ili aondowe jasho lako chafu Ili akienda kwa familia yake awe msafi.
6) Wengi wao wakati wakiwa bafuni hujutia saaana,
Kwa kuona wamemaliza ku cheat na kusema kua,
Kamwe hawawezi kufanya kitendo kibaya kama hicho tena.
7) Waume wenye tabia kama hizi wanaporudi home,
Huwa kumbatia wake zao na kuanza kujali watoto muda ule.
8) Acha ni waambie kitu nyie wanawake,
Waume za watu huwatafuta nyie michepu,
Wakati akiwa na stress na mke wake kipenzi,
Lakini si kwamba anakupenda kweli hapana.
9) Ukiwa mchepuko wanaume hukuchukulia kama bidhaa za dukani,
Kwa sababu kuna ambazo zinagharama lakini ni used.
10) Atatumia gharama zote zote ili akupate,
Lakini si kwamba anakupenda weli hapana,
Yupo nawewe kwa tamaaa zake tuu za mwili,
Lakini akili na mapenzi ya dhati vipo kwa mkewe.
11) Watu hawawezi kukuheshimu ikiwa wewe unapendwa na mume wa mtu Nooo,
Na hiyo sio sifa nzuri katika jamii haijalishi wewe ni mzuri kiasi gani,
Hata kama ukiwa umeenda chuo cha Harvard,
Ukiwa na tabia hiyo watu watakuweka katika nafasi ambayo haustahili kuwepo dada angu.
12) Umehongwa zaidi ya milioni 10 na umempelekea mama yako milioni 2,
Mama yako anainua mikono kwa Mungu anaomba dua,
Eweeee Mungu wa Mbinguni naomba ummbariki mwanangu,
Apate zaidi hivi mama yako anafahamu sehemu ambapo umetoa hizo pesa,
Hajui kua umepewa kwa njia ya uzinifu wala hajui maskini ya Mungu,
Hiyo dua Huwa inageuka na kuwa laana kubwa kwako.
13) Tambua kua tofauti yako na malaya anaejiuza,
Ni vile yeye anatambulika na kila mtu tu basi,
Lakini wewe ni wakisiri siri tuu lakini wote ni malaya.
Dada yangu ambae bado hujaolewa hujachelewa,
Tambua thamani yako ili uwe na malengo wewe ni zaidi ya jinsi unavyojifkiria,
Acha kabisa tabia za kuwatafuta sugar Daddy,
Pesa zao haziwezi kukufkisha sehemu yoyote,
Kwa sababu zina nuksi, mikosi na laaana tuuupu,
Tambua thamani yako na umsubiri mwanaume ambaye ni sahihi kwako,
Wanaume wenzangu naomba tuwe tunawafunza dada zetu,
Heshima na thamani yao na pia tuwafunze wake zetu,
Jinsi yakuwashauri binti zetu ili wasiishi katika tamaa za wenye pesa,
Wewe mwanamke tambua Mungu hajakuumba ili uwe chanzo cha ndoa za watu kuvunjika,
Mwanamke acha tamaa ridhika na ulichonacho,
Tambua kua siku zote mwanaume mzinifu,
Na asie muheshimu mke wake hata wewe atakuafanyia hivyohivyo akikuoa.
Enhee...Wewe ni wa mtu kwani...
Basi Cha mtu huliwa na mtu... Fanya jambo...Enhee...