Mwanamke fahamu mambo haya kabla hujawa mchepuko wa mume wa mtu

Maelezo meeeengi, hebu michepuko watengwe kidogo

Kuna muda wanasaidia sana pale njia kuu inaposumbua
Kuna tajiri mmoja mkubwa hapa Mwanza , aliyemuokoa ni mchepuko akamfichia Mali zake za magendo Mana walienda kusachi kwake hawakukuta kitu
 
Siwashauri bali ndio hali halisi ya maisha .Watoe kimipango aisee wanagawa mnoo wapunguze kugawa.
Sidhani kama mama yako angegawa kimipango ungekuwa na ujasiri wa kuandika kipuuzi hivi, au wewe hukulelewa ktk malezi ya baba na mama?
 
Inasikitisha
 
Sidhani kama mama yako angegawa kimipango ungekuwa na ujasiri wa kuandika kipuuzi hivi, au wewe hukulelewa ktk malezi ya baba na mama?
Enzi hizo watu walikuwa wanaolewa wakiwa wadogo na wazazi walikuwa wanawachagulia mabinti zao waume.Hauwezi kuwambia wakae bila kumbatona maana tunajua hilo haliwezekani. Cha msingi ni kugawa kimipango mi nashangaa unaona mwanamke anaolewa na mtu kisa anajua kumbato vizuri. Utadhani watoto watakula mapenzi aisee. Wanawake wengi hawajui thamani zao maisha hayana formula ndugu yangu.
 
Maadamu huo mchepuko sio mke wa mtu haina madhara hasa ikiwa mke ndani ya ndoa anazingua kutoa unyumba kwa namna baba anaridhika. Wanawake (wake) ndani ya ndoa ni vizibo tu yaani unampangia mume apige vingapi ati kimoja tu ukichelewa kukitupa anauliza "bado tu bado tu Leo unataka kupitiliza viwili kabisa" ukiendelea anakufinya finya kiunoni umuachie mwishowe unamuacha au unakomaa Ila ukimaliza ni maumivu ya makucha talking from experience. Kudadeki.
 
Tunafany mambo yanakuwa magumu mno na muda huu mfupi wa kuishi Duniani.

Wewe uliyeolewa tunza Mume wako,uliyeoa tunza mke wako.

NDOA wengi tunajua ni UTAMU 100% changamoto ziwe chache chache..sasa unakuta utamu -100% then unategemea mtu asitafute mtu mwingine?Haiwezekani.
Hawa wanaitw michepuko ni watu kama sisi tu..Jamii ndio inafanya mambo ya hovyo hovyo kubagua watu.

Wanaume muda wa tezi dume utakufikia mapema kama utapangiwa pangiwa ratiba za tendo kama vipindi vya television.

Tembeza rungu kwa utulivu...
 
Unafikiri huwa tunajua basi kama ameoa

Wewe umekutana na mtu mjini hapa kumbe ana mke mkoani na huoni red flag yoyote kwamba ni mume wa wenyewe…

Unakuja kujua ameshakuzalisha

Na mlivyo na Roho mbaya wanaume ninyi mnaenda mbali mpk kumtolea binti mahari kumbe ulishaoagaa

Jamani wanawake mnaowaroga hawa wanaume… msiachee endeleeni haiwezekani waharibu maisha ya wanawake halafu sisi ndio tuonekane tumejitakia
 
Tatizo tunavichukulia hivi viumbe kama kwamba havina akili na vinafanya uzinzi bila utashi Wao. Haya ni makosa makubwa sana ya jamii kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…