Mwanamke fahamu mambo haya kabla hujawa mchepuko wa mume wa mtu

Sio wote wana magari🤣🤣wengne hupanda Daladala kurejea kwa wake zao
 
Huu ujumbe niliuona Facebook page ya mnigeria. Huyu kautafsiri ili azidi kutuharibia.
 
Wewe hauna sura, hauna shepu, tulia wenzio waishi maisha.
 
Acha kueneza chuki dhidi ya wanaume. Siyo kweli uliyoandika. Mwanaume unatakiwa kuwa na wanawake wengi kwa mila zetu za kiafrika. Inasikitisha kama ni mwanaume umeandika mambo haya, jitafakari na uje kuwaomba radhi wanaume hapa jamvini kwa huu usaliti.
 
Aisee Mzee Machache nae alipiga?
 
Aisee Mzee Machache nae alipiga?
Bosi wangu alikuwa anafanyia biashara na mzee Machache kuna pesa ya mzee Machache nilitakiwa kumwekea ikatumwa account namba na Jina ni Jokate Mwegelo na ilikuwa kibunda aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…