Mwanamke fukara na masikini ni tabu tupu mzigo mzito sana kwa mwanaume

Tatizo wanawake wengi masikini wanapenda kujishaua kupenda mambo ya gharama ili kuficha umasikini wao, mfano
1. Mwanamke ni masikini lkn anataka kubadili simu kila baada ya miezi 3. Utasikia baby hii simu nimeichoka, lkn ukiangalia unaona simu bado nzuri kabisa
2. Shopping zisokwisha, yaani kila shughuli au sherehe anataka akainunulie nguo mpya
3. Mitoko ya kila siku, yaani hataki weekend impite yupo home.

Na hayo yote anataka kuyafanya Kwa gharama za mwanaume. Matokeo yake ndo kila siku utaombwa pesa, yaani watu waliokupigania kwenye maisha kama wazazi huwezi hata kuwasaidia kwa sababu ya kuendekeza shida zisozokwisha za mwanamke.
 


Na kwa tamaa hizo ndio maana wengi ni malaya hawawezi kuwa na Mwanaume mmoja sababu mmoja hawezitaka stress za kupigwa mizinga kila mara na kuchosha.

Hawaoni hata chembe ya aibu.
 

Uko sahihi kabisa kwa dunia ya sasa.
 
Mtoa mada anashindwa kutofautisha yafuatayo
1. Umaskini na ujinga
Anazungumzia vyote kwa ujumla, ilihali mada yake inahusu mwanamke maskini

2. Mwanamke maskini aliyeolewa na asiyeolewa
Mtoa mada anazungumzia tabia mbalimbali za mwanamke maskini asiyeolewa. Anazungumzia masuala ya kudanga ambapo ni tabia ya mwanamke asiyeolewa! Haiwezekani kumzungumzia mwanamke aliyeolewa ktk muktadha wa ukahaba

3. Mwanamke maskini na familia ya mwanamke maskini
Mtoa mada ameihusisha moja kwa moja familia maskini ya mwanamke, kanakwamba familia yake inaolewa pia!
Mtoa mada anaamini mwanamke kwenye familia tajiri Ni tajiri pia kitu ambacho si kweli

Angalizo!
Adamu alipewa Mali (ardhi, matunda na viumbe) Kisha akapewa mwanamke (mwanamke maskini)

Swali kwa mtoa mada,
Iwapo una hofu ya kutiwa umasikini na mwanamke mmoja ambae Hana Mali ya kushare nae, vipi watoto unaotarajia kuzaa ambao nao Ni maskini wanakuja kwenye himaya yako bila Mali?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli tishangae tu
Wanatuchosha!

Nasisitiza mwanamke na mwanaume ni watu wawili tofauti
Anytime maisha ya mwanamke yanabadirila
Yaani bila hata aibu unafurahia maisha yanabadilika kwa kutombwa, sasa hapo kuna tpfauti gani na kufanya ukahaba?
 
KIJANA UMEJAA MALALAMIKO SANA.
KILA SIKU MALALAMIKO WEWE MPAREE???
 
Yaani bila hata aibu unafurahia maisha yanabadilika kwa kutombwa, sasa hapo kuna tpfauti gani na kufanya ukahaba?
Huna akili unawaza ngono ,uzinzi tu.
Kwani umekariri maisha ya mwanamke yanabadirila Kwa upuuzi?
Kwann uduwaze yabadirike Kwa kuolewa na mtu mwenye uwezo?
Acha upuuzi wa kufikiri uzinzi tu Kila wakati.
Bora ungeuliza how,sio kuwekea watu mawazo yako
 
Sex is overrated in Africa. Mimi siwezi kukatisha ratiba zangu kwa shauku ya mbususu yaani demu hata akija geto anikute naangalia movie baada ya salamu inabidi atulie kuperuzi simu yake mpaka movie ninayoangalia iishe.
Kama hauna nguvu za kiume unategemea ufanye tofauti na hivyo?
 
Huna akili unawaza ngono ,uzinzi tu.
Kwani umekariri maisha ya mwanamke yanabadirila Kwa upuuzi?
Kwann uduwaze yabadirike Kwa kuolewa na mtu mwenye uwezo?
Acha upuuzi wa kufikiri uzinzi tu Kila wakati.
Bora ungeuliza how,sio kuwekea watu mawazo yako
Sasa kuolewa si ndo kutombwa kwenyewe. Kwani nani ambae ajui uko kwenye ndoa kumejaa indirect prostitutes wanaotafuta unafuu wa maisha na kumiliki mali ambazo hayajachangia chochote kwa kupitia talaka au kuwaua waume zao.
 
Huna akili unawaza ngono ,uzinzi tu.
Kwani umekariri maisha ya mwanamke yanabadirila Kwa upuuzi?
Kwann uduwaze yabadirike Kwa kuolewa na mtu mwenye uwezo?
Acha upuuzi wa kufikiri uzinzi tu Kila wakati.
Bora ungeuliza how,sio kuwekea watu mawazo yako
We chombo cha starehe unaongea nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…