My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Sijui ni kwanini malaika wote huchorwa wakiwa ktk maumbile ya kike, japokuwa inadaiwa kuwa hakuna mwanamke malaika.
Yaani Mungu wetu anao malaika wa kiume tu, hana wa kike hata mmoja. Lakini michoro yote ya malaika ina wa Brand kama wanawake na si wanaume. Niliwahi kumuuliza mwalimu mmoja wa Saikolojia sababu ya malaika kuwa Branded kwenye jinsia ya kike akajibu kwamba.
"Mwanamke ni alama ya upole, unyenyekevu, utu wema, huruma, usikivu na vyote vinavyoendana na hayo, kwa hiyo mwanaume kum Brand kama malaika, generally kwa tabia za kiume asingependeza hata kidogo.