Mwanamke hataki kufanya mapenzi kisa anaumia, ana tatizo gani?

Mwanamke hataki kufanya mapenzi kisa anaumia, ana tatizo gani?

Jackson jonh

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
46
Reaction score
7
Nina mpenzi ambae nimeshafanya naye mapenzi nae zaidi ya mara nne, ila kwa sasa amekuwa hataki kufanya mapenzi nami, akidai kuwa anaumia pindi anapofanya mapenzi, ninapomueleza basi tuachane, hataki anasema ananipenda.

Nifanyeje
? Ushauri tafadhali
 
Kwa hiyo unAtaka kumuacha kwa sababu hataki kushiriki tendo nawe?? Ni jinsi gani upo kwake kwa ajili ya ngono tu
 
Kwa hiyo unAtaka kumuacha kwa sababu hataki kushiriki tendo nawe?? Ni jinsi gani upo kwake kwa ajili ya ngono tu

Jambo rahisi hii, amtibu mpaka apone alafu waendelee,kama anahisi maumivu atafurahi vipi tendo? Mambo mengine hayahitaji shule wala ushauri.
 
nimeshakwambia nitafute ndugu nimetoa na namba kwa lweli nakuakikishia kupata ufumbuzi wa kudumu
 
Ww utakuwa unafanya fujo kama wafanyavyo wanyama au wale wanaocheza zile movie
 
MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA


attachment.php


Maumivu haya pia huweza kumpata mwanaume katika uume lakini ni mara chache sana kulinganisha na wanawake. Mwanamke ndiye husumbuliwa zaidi na tatizo hili.
Maumivu yanaweza kuwa wakati tendo linapoanza pale mwanzoni ukeni, au kwa ndani zaidi.

Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo ambayo ndiyo hayo tuliyoyaona hapo juu na maumivu baada ya tendo.

Maumivu wakati wa tendo
Maumivu haya hutokea pale uume unapoanza kuingia ukeni na hutokana na uke kuwa mkavu.
Hili linaweza kusababishwa na maandalizi duni kabla ya tendo, matatizo katika mfumo wa homoni au kupoteza msisimko na hamu ya tendo.

Kubana kwa misuli ya uke pia huchangia ingawa tatizo hili zaidi ni la kisaikolojia kutokana na mwanamke kuwa na woga wakati wa tendo. Kuwa na makovu ukeni kutokana na athari za kukeketwa, uwepo wa michubuko na vidonda au maambukizi ukeni mfano fangasi ya muda mrefu na maambukizi mengine hasa magonjwa ya ngono.
Uvimbe ukeni au uwepo wa jipu na vipele, kuumia kwa kufanyiwa vipimo au baada ya kuzaa kwa njia ya kawaida endapo hukupona vizuri.

Maumivu baada ya tendo
Maumivu haya hutokea muda mfupi baada ya tendo la ndoa. Mwanamke huhisi maumivu kwa ndani zaidi ukeni au chini ya tumbo. Maumivu huwa makali na huchukua muda mrefu.

Maumivu ya chini na ndani zaidi ukeni huleta hisia kama muwasho mkali wa pilipili au kama unakatwakatwa na viwembe na ukinawa unazidi kupata maumivu.
Maumivu ya ndani zaidi ukeni wakati mwingine huambatana na hali ya kuhisi kama kuna kitu kinasukumwa wakati wa tendo na unapomaliza tendo ukinawa unahisi kitu kimevimba ndani ukeni kama kigololi.

Maumivu huwa chini ya tumbo na wakati mwingine husambaa kulia na kushoto ya mirija. Wengine huumwa na kiuno hata kutembea inakuwa shida mara tu baada ya kumaliza tendo.
Hali ikiwa mbaya mwanamke hutokwa na damu baada ya tendo, hali ambayo siyo dalili nzuri kwani hata saratani ya shingo ya uzazi nayo huonyesha dalili hii ya damu.

Hali ya maumivu pia huambatana na kutokwa na majimaji ukeni wakati mwingine yakiambatana na muwasho mkali na harufu. Hata wanaume wanaweza kutokwa na damu baada ya tendo badala ya manii.

Nini cha kufanya?
Tatizo hili ni kubwa na lina vyanzo vingi kama tulivyoona, hivyo ni vema kufanya uchunguzi kujua chanzo halisi ndiyo tiba ifuate.
Epuka kutumia dawa bila ya kujua chanzo halisi.
Uchunguzi hufanyika katika hospitali za mikoa, wilaya kwa madaktari wa magonjwa ya kinamama. Ni vema uwahi hospitali.cc.@
Jackson jonh

Ukitaka dawa ya kutibu hilo Tatizo dawa ninayo unaweza kuniona kwa wakati wako ukinihitaji mimi bonyeza hapa.
Mawasiliano

 

Attachments

  • paka.jpg
    paka.jpg
    30.3 KB · Views: 1,193
Madame s,naelewa kila unachofikiria,nishamfanyia kila kitu kwa zile siku nne,nilihakikisha natumia zaidi ya dk 20 kumuandaa tu, namuandaa mpaka nahakikisha umefika mda mwafaka,na ninapokuwa nasex nae huwa naongea nae anapohis anaumia siendelei,kiujumla huwa nahakikisha namlizisha yeye,mwisho wa siku anakuwa hataki anakwambia ameumia na hataki tena,sasa unaweza ishi na mwanamke ndan bila ya kusex?
 
Mkuu Au anakutega,labda anataka umle 0173....
 
Back
Top Bottom